niliwahi kuiambia tume ya mabadiliko ya katiba ya warioba lakini ilinipuuza

R

Rose Mayemba

Verified Member
Joined
May 7, 2012
Messages
720
Likes
450
Points
80
R

Rose Mayemba

Verified Member
Joined May 7, 2012
720 450 80
Siasa za Tanzania zimekaa kisanii sana,kila mtu anayejiona ana uwezo wa kulaghai hujitafutia tiketi ya kuingia Ikulu ama Bungeni.Hakuna sheria yoyote kwa ajili ya hawa watu hasa inapotokea wamekwenda kinyume na matakwa ya waliowachagua.

Nilitoa mapendekezo yangu kwenye tume ya Warioba kwamba katika katiba wanayoiandaa mbali na wananchi kuwa na mamlaka ya kumwondoa pale wanapoona hatendi sawa na walivyomtuma lakini pia iwepo sheria ya kuwaadhibu pale wanapoonekana kutokutekeleza yale waliyoyaahidi wakati wa kuomba kura pindi wamalizapo muda wao wa uongozi.

Baba wa taifa aliwahi kusema" ili Tanzania iwe IMARA ni lazima tuwe na UONGOZI BORA,ARDHI PAMOJA NA SIASA SAFI"

Lakini sasa hatuwezi kuwa na UONGOZI BORA kwani viongozi wengi tulionao tuliwapata kwa siasa CHAFU,zilizojaa UONGO na ukiukwaji ya maadili.

Mimi nitaendelea kusema hatutapata kuendelea TANZANIA hata tukibadilisha vyama kila siku hadi hapo tutakapopunguza hii idadi ya watu wanaokwenda kuneemesha matumbo na familia zao huku wakiancha wananchi wanateseka.Na mbaya zaidi huachwa tu kama wafalme huku wakiwa wamekengeuka maadili ya kitaifa.

THINGS WILL CHANGE BUT WE NEED TO CHANGE OUR SELVES FIRST
 
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Messages
15,616
Likes
6,130
Points
280
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2009
15,616 6,130 280
Mbunge kazi yake kuisimamia govt,govt ndio inatekeleza mipango ya maendeleo
 
myhem

myhem

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
932
Likes
9
Points
35
myhem

myhem

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
932 9 35
Tume haijakupuuza ndio maana kwenye rasimu hii wametoa pendekezo lako la kumwajibisha mbunge pindi anapoenda kinyume na matakwa ya waliomchagua
 
K

kinauche

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
7,684
Likes
850
Points
280
Age
68
K

kinauche

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
7,684 850 280
Mh?! Nitarudi baadaye. Ngoja nijipange

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Kibanga Ampiga Mkoloni

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2007
Messages
16,687
Likes
3,243
Points
280
Kibanga Ampiga Mkoloni

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2007
16,687 3,243 280
Mbunge kazi yake kuisimamia govt,govt ndio inatekeleza mipango ya maendeleo
Lipo wazi kabisa, Tatizo wengi wanafikiri kazi ya Mbunge ni Kuleta Barabara, Madaraja, zahanati na shule kama vile mbunge anabajeti. Na hili ndilo lilosababisha wabunge wakaomba Mfuko wa bunge eti na wAo ni watekelezaji wa mipango ya sijuhi ni nani huwa anawasimamia.
 
minyoo

minyoo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2013
Messages
11,102
Likes
6,836
Points
280
minyoo

minyoo

JF-Expert Member
Joined May 25, 2013
11,102 6,836 280
Siasa za Tanzania zimekaa kisanii sana,kila mtu anayejiona ana uwezo wa kulaghai hujitafutia tiketi ya kuingia Ikulu ama Bungeni.Hakuna sheria yoyote kwa ajili ya hawa watu hasa inapotokea wamekwenda kinyume na matakwa ya waliowachagua.

Nilitoa mapendekezo yangu kwenye tume ya Warioba kwamba katika katiba wanayoiandaa mbali na wananchi kuwa na mamlaka ya kumwondoa pale wanapoona hatendi sawa na walivyomtuma lakini pia iwepo sheria ya kuwaadhibu pale wanapoonekana kutokutekeleza yale waliyoyaahidi wakati wa kuomba kura pindi wamalizapo muda wao wa uongozi.

Baba wa taifa aliwahi kusema" ili Tanzania iwe IMARA ni lazima tuwe na UONGOZI BORA,ARDHI PAMOJA NA SIASA SAFI"

Lakini sasa hatuwezi kuwa na UONGOZI BORA kwani viongozi wengi tulionao tuliwapata kwa siasa CHAFU,zilizojaa UONGO na ukiukwaji ya maadili.

Mimi nitaendelea kusema hatutapata kuendelea TANZANIA hata tukibadilisha vyama kila siku hadi hapo tutakapopunguza hii idadi ya watu wanaokwenda kuneemesha matumbo na familia zao huku wakiancha wananchi wanateseka.Na mbaya zaidi huachwa tu kama wafalme huku wakiwa wamekengeuka maadili ya kitaifa.

THINGS WILL CHANGE BUT WE NEED TO CHANGE OUR SELVES FIRST
Kutekeleza ahadi huwa ni Jambo gumu sana kutokana na Wananchi wenyewe kulazimisha kumpa kura Mbunge ambaye anaenda bungeni kupiga meza na kusinzia kisha kupokea posho na kuhamia Dsm jimboni kwenda kwa nadra .aina ya wabunge Hawa ni vigumu sana kutekeleza ahadi kwani hata Mawaziri hutekeleza ahadi kulingana na speed ya ufuatiliaji na hoja za mbunge mwenyewe .umefika wakati wabunge wote wawe wakazi harisi wa jimbo na waishi huko huko jimboni wasihamie Dsm kama ilivyo sasa .
 
Forum statistics

Threads 1,274,998
Members 490,874
Posts 30,530,038