Pale Addis Ababa, Kagame alitakiwa kusema hivi! Mu7 kaanza kurekebisha kauli


kweleakwelea

kweleakwelea

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Messages
2,601
Likes
571
Points
280
kweleakwelea

kweleakwelea

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2010
2,601 571 280
nilidhani baada ya kikwete kutoa rai yake pale Adis ababa kuwa kagame akae na wapinzani wake kuondoa usumbufu kwa tanzania na bara letu kiujumla......kagame kwa upole angetoa rai kama ifuatavyo

1. nchi yangu ina historia ndefu hata hapa tulipofika ni mafanikio....

2. ni kweli kuwa matatizo yaliyo ndani ya nchi yangu yamepelekea sehemu kubwa ya eneo letu la maziwa makuu kuwa lenye misukosuko

3. matatizo haya ya nchi yangu yamepelekea watu wengi ndani na nje ya nchi kama kule DRC kongo kupata mateso makali ya vita na political unrest.....

4. natambua na ninaeashukuru jirani zangu kama raisi kikwete kwa kuendelea kutuvumilia kila mara kwa mzigo ambao tanzania imekuwa ikiubeba kutokana na matatizo yetu ya ndani

5. matatizo haya yetu ya ndani kimsingi ni ya kutoaminiana....watuzi hatujui tukiwakaribisha wahutu wenye nguvu nyumbani kitu gani kitatutokea...tunaweza kurudi tulikotoka...wasiwasi huu ndio ulinifanya nikamti ndani yle maza wa kihutu aliporudi na kutangaza nia kugombea uraisi....ininajua kuwa si kitendo cha kiungwana hata kidogo.....kule kwetu watusi ni wachache....wahutu ni wengi.... angechukua uraisi sijui ni nini ingekuwa hatima wa watusi wachache waliopo....

6. hali yetu ni kama ya afrika kusini ile ambayo mandela alichukua nchi...wazingu hawakujua kama angeamua vile .... na kuendelea na mapatano chini ya desmond tutu...leo hii africa kusini ni taifa kubwa....tungetamani historia mpya kama ya wenzetu.... kwetu sie rwanda watusi ni kama wazungu wale wa africa kusini...

7. tungetamani kuwa kama afrikc kusini...tujadiliane na wenzetu...lakini tunahitaji kuungwa mkono na jumuia ya kimataifa....ili kutengeneza rwanda mpya....kama walivyofanya afrika kusini...au kenya baada ya machafuko na mauaji...ambapo raisi kikwete aliongoza juhudi hizo...tungetamani jakaya kikwete attumie uzoefu wake katika medani za siasa za kimataifa kuandaa mazingra mazuri ya majadiliano ili kuijenga rwanda mpya...hali ilivyo sasa hati sisi tulio madarakani hatuifurahii...

8. tunataka kuwaachia watoto wetu rwanda mpya....tuliishafanya awamu ya kwanza tulisimamisha mauaji...tummenda ya pili...kutegemeza uchumi...sasa tuko awamu ya tatu....kuandaa mustakabali wa rwanda mpya....

9. kwa mara nyingine namshukuru raisi kikwete naishukuru jumuiya ya kimataifa kwa concern yake kwa rwanda na watu wake....

Mungu ibariki rwanda

Mungu ibariki Africa

watu....MAKOFIIIIIII!!!!!!!


nilikuwa napita pita kwenye mtandao nikakuta mzee wa bahima empire yoweri museveni katoa angalizo kuhusiana na muungano...

lakini kuna nukuu ambazo kazifanya ambazo ndizo zilizonipelekea kuandika post hii.....
"Sectarianism based on tribal and religious grounds interferes with the interest of both producers and entrepreneurs,''

As such, he argued that unification of East Africa is "a necessity as the people of the region are already linked through culture, history and dialects."

i think kagame reaction should be in the best way if he did put them this way...na inawezekana amemtuma aombe msamaha kwa namna hii.....


Nyerere, Karume visionaries, who united two republics, says Museveni

By Correspondent | 13th June 2013


Uganda's President Yoweri Museveni has described Tanzania's founding fathers Dr Julius Nyerere and Sheikh Abeid Karume as visionary East African leaders and wise thinkers who gave up their country's sovereignty to unite the people for a common objective.

''These leaders should be saluted for the wise decision of uniting the Tanganyika Mainland and Zanzibar to form the United Republic of Tanzania,'' President Museveni told the Inter-Parliamentary Relations Seminar in Entebbe over the weekend.

"This brave and commendable example should be followed suit by the East African Community Partner States," he added.

President Museveni was addressing the two-day seminar run under the theme: "Promoting a people-centred and market driven East Africa".

"With a population of 140 million, [East Africa] offers huge market that can easily attract investors who in turn will offset the manufacturing age for the region," Museveni commented.

"Sectarianism based on tribal and religious grounds interferes with the interest of both producers and entrepreneurs,'' said the president in reference to what the union of Tanganyika and Zanzibar has achieved in terms of alleviating tribal and civil conflicts that are still plaguing some of the nations in the region.

As such, he argued that unification of East Africa is "a necessity as the people of the region are already linked through culture, history and dialects."

Mwalimu Nyerere, who retired from presidency in 1985, died from leukemia in London on 14 October 1999, aged 77. Sheikh Karume (67) was assassinated in April 1972 in Zanzibar Town.
 
Maundumula

Maundumula

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Messages
7,050
Likes
93
Points
145
Maundumula

Maundumula

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2010
7,050 93 145
Huyo Kagame atarukaruka wee mwisho wake atarejea mezani au watamuondoa kwa nguvu!!
 
F

fimboyaasali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Messages
2,400
Likes
1,151
Points
280
F

fimboyaasali

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2011
2,400 1,151 280
La paix tuksicana
 
bornagain

bornagain

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
3,385
Likes
32
Points
145
bornagain

bornagain

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2012
3,385 32 145
Huyu nae ni janga jingine,nashangaa kwa nini risasi haikumpata.Mwizi kama Kagame and also he contributed to make East and Central Africa to be unrest kwa sababu ya kuimarisha Hima Empire.Nothing will ever come from the mouth of this blood sucker I will ever believe.Nae mikono yake imejaa damu tu kama ya mwenzake Kagame,mimi kama ningeenda kwenye huo mkutano wa Kampala ningelala zangu hotelini then siku ya kurudi nikarudi zangu Tanzania,in short ningeenda kwa matembezi na sio kumsikiliza huyu dikteta Mseven
 
Bramo

Bramo

JF Bronze Member
Joined
Oct 21, 2009
Messages
10,172
Likes
3,423
Points
280
Bramo

Bramo

JF Bronze Member
Joined Oct 21, 2009
10,172 3,423 280
Nadhani siku JK akikutana face to face na Kagame anaweza kutoka Nduki
 
kmbwembwe

kmbwembwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Messages
6,728
Likes
1,588
Points
280
kmbwembwe

kmbwembwe

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2012
6,728 1,588 280
Sitasahau; eti jk amuombe radhi, sura yake tu inaonyesha majigambo na roho mbaya.
 
kmbwembwe

kmbwembwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Messages
6,728
Likes
1,588
Points
280
kmbwembwe

kmbwembwe

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2012
6,728 1,588 280
Warundi na warwanda ni mzigo kwa tanzania
Hapo watoe warundi mkuu. Walifanya kile alichoshauriwa kagame afanye na jk na sasa wamepata amani nchini mwao. Japo bado yako matatizo ya hapa na pale lakini wamemaliza ukaburu na sasa wana amani.
 
ZionGate

ZionGate

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
5,071
Likes
683
Points
280
ZionGate

ZionGate

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
5,071 683 280
Nadhani siku JK akikutana face to face na Kagame anaweza kutoka Nduki
Mkuu umenichekesha sana,ule mwili wa Kagame hawez mtoa knock out Jk,hata jeshini JK kapitia bhana..
 
Andrew Nyerere

Andrew Nyerere

Verified Member
Joined
Nov 10, 2008
Messages
3,012
Likes
1,241
Points
280
Andrew Nyerere

Andrew Nyerere

Verified Member
Joined Nov 10, 2008
3,012 1,241 280
Wewe unaandika mambo ambayo ni ya uchochezi. Kama Kagame amekasirika,inapaswa wote tuwe watulivu. Mtu mmoja akikasirika,mmoja akiwa shwari,anakuwa mkombozi wa wote wawili.
Kikwete anasema Kagame aongee na adui zake,wakati huohuo Uingereza imewakamata wale watu London,inataka kuwarudisha Kigali wakumbane na Gachacha. Wakati huo huo ndio Kikwete anawatazama wale maadui with equanimity. Unadhani hilo jambo linaweza kumpendeza Kagame?
 
H

hargeisa

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2011
Messages
550
Likes
2
Points
0
Age
45
H

hargeisa

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2011
550 2 0
Usicheze na jamii zenye pua ndefu wewe.
Utauzwa mzimzim mzimamzima
 
masopakyindi

masopakyindi

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Messages
14,509
Likes
3,195
Points
280
masopakyindi

masopakyindi

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2011
14,509 3,195 280
Nadhani siku JK akikutana face to face na Kagame anaweza kutoka Nduki
Mkuu naona wewe na Kagame sawa na kunguru mwoga, ambaye ukiinama tu anafikiti unaokota jiwe la kumrushia, na huyoo kesha ruka.
Jeshi letu wala halijafika mpakani mwa Rwanda anajiharishia
 
Omukuru

Omukuru

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Messages
244
Likes
2
Points
35
Omukuru

Omukuru

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2010
244 2 35
Inawezekana kabisa kile alichokisema ndugu Kikwete kikawa na maana; na najitahidi kujaribu kuwaelewa wanaomtetea kwa jazba kwa sababu ametajwa Rais wao. Lakini pia najiuliza, kama kweli mazungumzo ndo suluhisho mbona Kikwete mwenyewe ametuma wanajeshi nchini Congo kupambana na M23? Si angewatuma wasuluhishi wa mezani kama kweli anaamini anachokisema? Naendelea kujiuliza tena, mbona kwenye migogoro ya ndani badala ya kuzungumza wanatumika polisi, mabomu na risasi?
Na kwa wale wanaodai Tanzania nchi kubwa..., inaweza kumwondoa madarakani Kagame..., nk. kwa nini wasijiulize huu ukubwa au jina kubwa la Tanzania limetusaidia vipi kiuchumi. Badala ya kuangalia personality ya Kagame, tujitahidi kuangalia kazi aliyoifanya Rwanda kimaendeleo. Kikwete hajatukanwa, kaelezwa ukweli; aliongea out of ignorance, kama sio alipewa cha kusema na maboss wake.
 
S

sir.ben

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2013
Messages
389
Likes
0
Points
33
S

sir.ben

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2013
389 0 33
Shame 2 jk! Bt rwanda and burundi we need peace
 

Forum statistics

Threads 1,273,088
Members 490,268
Posts 30,470,878