Nape Nnauye,Mnec Mwalusamba na Catherine Magige,Wafunika kata ya Themi,Arusha

M

murano66

Member
Joined
Jun 13, 2013
Messages
5
Likes
0
Points
0
Age
49
M

murano66

Member
Joined Jun 13, 2013
5 0 0
Zikiwa zimesalia dakika za majeruhi kipenga kupulizwa,ili kujua nani mbabe wa siasa za Arusha kwa awamu hii,Katibu Itikadi na Uenezi atoboa Siri ya Dr Slaa kuwapo nje ya Nnchi na agenda Yao mpya ya Siri,Nape aliekua akishangiliwa na umati mkubwa wa wana-Themi,alikaribishwa na Mnec Wa Arusha mjini,Ndugu Godfrey Mwalusamba ambaye anaendelea kujizolea sifa za siasa za Arusha kwa kutumia muda wake mwingi kuzungumzia kero na njia za utatuzi wa kero hizo,Mbunge viti maalum Catherine Magige pia,aliwahikikishia wapiga kura hao ju ya kuweka mikakati ya kuwasaidia wajane kupitia foundation yake endapo watamchagua mgombea wa chama chake,Wakili Victor.
 
L

lupe

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2013
Messages
5,659
Likes
5
Points
0
L

lupe

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2013
5,659 5 0
Mleta uzi wewe ni muongo, mimo nilikuwepo kwenye huo mkutano wa kata ya themi arusha, maccm yaliambulia kuzomewa na huyo nape wao acha uongo.
 
C

Chimba vituz

Member
Joined
Jun 13, 2013
Messages
35
Likes
1
Points
0
C

Chimba vituz

Member
Joined Jun 13, 2013
35 1 0
Nape ni Gwiji la siasa,ila Binafsi nafarijika sana kuona vipaji vya vijana wanaojielewa kama Mnec, G.Mwalusamba wakimwaga sera badala ya Hila,maana CCM nao,kuna kakundi hua hakakawii!
kubwa zaidi jengeni chama na si watu..tunasubiri jumapili kujua mbivu na mbichi.
 
K

kinauche

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
7,684
Likes
850
Points
280
Age
68
K

kinauche

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
7,684 850 280
Wa mbili havai moja. Mbabe unamjua. Wahi buku 7 zako. Nape amtafute baba yake mzazi kwanza.
Kwani alipotea au alikufa? Kwani huyo aliyekufa hakuwa baba yake? Hilo jina la Nnauye kalipatapataje?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
M

murano66

Member
Joined
Jun 13, 2013
Messages
5
Likes
0
Points
0
Age
49
M

murano66

Member
Joined Jun 13, 2013
5 0 0
Mleta uzi wewe ni muongo, mimo nilikuwepo kwenye huo mkutano wa kata ya themi arusha, maccm yaliambulia kuzomewa na huyo nape wao acha uongo.
Kaka,GT si mahali pa ushabiki Wala hapatakiwi kua pa ushabiki,kwenye ukweli tuseme na tusipotoshe watu kwa ushabiki wa vyama,Tanzania kwanza vyama baadae. Jamaa wamefunika na Nape hajazomewa toka ametinga mjini.
 
neemamushi

neemamushi

Member
Joined
Jun 15, 2012
Messages
36
Likes
0
Points
13
Age
25
neemamushi

neemamushi

Member
Joined Jun 15, 2012
36 0 13
Unavyo sema Dr slaa yupo nje kwa ajenda zao za siri ningependa uziorozeshe agenda hzo
 
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
38,364
Likes
50,971
Points
280
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
38,364 50,971 280
Nape ni Gwiji la siasa,ila Binafsi nafarijika sana kuona vipaji vya vijana wanaojielewa kama Mnec, G.Mwalusamba wakimwaga sera badala ya Hila,maana CCM nao,kuna kakundi hua hakakawii!
kubwa zaidi jengeni chama na si watu..tunasubiri jumapili kujua mbivu na mbichi.
kama haya matusi Mwalusamba anayomtukana Lema kwenye majukwaa ndo sera za CCM honestly nawashauri wanachama wa ccm msilaumiane mtakapopata kipigo cha mbwa mwizi tarehe 16/june/2013.

Wait and see maajabu ya M4C.
 
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
38,364
Likes
50,971
Points
280
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
38,364 50,971 280
Kaka,GT si mahali pa ushabiki Wala hapatakiwi kua pa ushabiki,kwenye ukweli tuseme na tusipotoshe watu kwa ushabiki wa vyama,Tanzania kwanza vyama baadae. Jamaa wamefunika na Nape hajazomewa toka ametinga mjini.
mkuu msafara wa Nape Nnauye umebahatika kutokuzomewa tu maeneo ambayo walikua wanapita kwa kasi kama wanafukuzwa tena vioo juu na escort tinted.
Box la kura litafikisha ujumbe kwa serikali hii katili ya ccm kuwa msafara mrefu wa magari ya serikali hauna influence yoyote ya kuinusuru CCM hapa Arusha.

Wao wana dola, sisi tuna Mungu.
 
Last edited by a moderator:
Mungi

Mungi

JF Gold Member
Joined
Sep 23, 2010
Messages
16,994
Likes
496
Points
180
Mungi

Mungi

JF Gold Member
Joined Sep 23, 2010
16,994 496 180
mkuu msafara wa Nape Nnauye umebahatika kutokuzomewa tu maeneo ambayo walikua wanapita kwa kasi kama wanafukuzwa tena vioo juu na escort tinted.
Box la kura litafikisha ujumbe kwa serikali hii katili ya ccm kuwa msafara mrefu wa magari ya serikali hauna influence yoyote ya kuinusuru CCM hapa Arusha.

Wao wana dola, sisi tuna Mungu.
Mkuu Nape Nnauye alizomewa kijenge ya chini juzi wakati anapita na gari lake, ikabidi atoe mkono nje na kuonyesha alama ya vidole viwili ya peoples kupunguza zomea zomea ya wanakimandolu
 
Last edited by a moderator:
C

Chimba vituz

Member
Joined
Jun 13, 2013
Messages
35
Likes
1
Points
0
C

Chimba vituz

Member
Joined Jun 13, 2013
35 1 0
kama haya matusi Mwalusamba anayomtukana Lema kwenye majukwaa ndo sera za CCM honestly nawashauri wanachama wa ccm msilaumiane mtakapopata kipigo cha mbwa mwizi tarehe 16/june/2013.

Wait and see maajabu ya M4C.
Kaka,tusishuhudie watu uongo ndugu yangu maana wanafatilia siasa hizi za uchaguzi mdogo,Mwalusamba hajamtukana Lema wala wagombea wao,ndio maana hata Subira wa Themi,aliegombea kura za maoni na Mgombea wa Chadema Themi,majuzi kwenye manado ilirushwa akiwa kwenye jukwaa la CCM akisalimiana kwa furaha na Mnec.Godi Mwalusamba,inadhihirisha ni namna gani kwanza hawa jamaa wameiva kisiasa japo walitaka kupotosha kua Subira/Isiaka amehama,na mwenyewe Jana Radio 5 amesema hawezi hamia CCM bali alipita kumsalimu kaka na rafiki yake Mwalusamba! Kaka hapa inathibitisha kua ni namna gani hawa jamaa wanaheshimiana kwa dhati..
 
sir joshua

sir joshua

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2013
Messages
480
Likes
84
Points
45
Age
35
sir joshua

sir joshua

JF-Expert Member
Joined May 21, 2013
480 84 45
Nasikitika kuona jitu zma linakua ongo kama shetani mleta uzi kadanganya mimi nilikuepo eneo husika nape alizomewa sawasawa akiwa na msafara wake,achen kudanganya uma hiloooo hovyo.
 
LENGIO

LENGIO

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2012
Messages
1,082
Likes
154
Points
160
LENGIO

LENGIO

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2012
1,082 154 160
Huyu mwalusamba hana lolote mjinga fulani hivii alimuua mkewe wake,taira wakawaida kama nape na mwigulu kibaraka wa riziwani.huyu malaya wa kagasheki hiyo saccos yake amkopeshe fadhili matambi waliomwiibia tanzanite zake yeye na huyu mwalusamba.
 
M

murano66

Member
Joined
Jun 13, 2013
Messages
5
Likes
0
Points
0
Age
49
M

murano66

Member
Joined Jun 13, 2013
5 0 0
Mnec Goddy Mwalusamba,ni kweli ni kijana makini,maana kwanza anawapongeza Wananchi wa Arusha kwa maamuzi ya 2010,kwa maana ilikua haki yao ya kikatiba na kidemokrasia kufanya maamuzi ya kuwapigia kura chadema hususan kwa ahadi zilizokua zimetolewa kwa maana zilionyesha ukombozi wa Kada zote za Arusha,sasa anahoji vipi hao madiwani walifanikiwa kutekeleza! Na Kama hawakutekeleza hata moja hoja zao ni zipi Leo hii?Na kuwataka Wananchi wapime katika utawala wa CCM yalifanyika yapi na utawala wa CDM yapi pia!kisha watajua wapi pa kupeleka kura zao..
hii ndio "Strong Politics"tunatakiwa kujenga hoja zenye tija na si vituko,watu wanapojitokeza wakataka majawabu ya kero zao na sio mbwembwe..
Mungu ibaraki Arusha,Mungu ibaraki Tanzania.
 
Hakika wanaotumia "KAMASI" kuifikiria mko wengi!yaani nyumbu wa Mzee lowaza a.k.a kipofu a.k.a RAHISI wa Ng'ombe,a.k.a,Mroho wa madaraka na Aliefika ukingoni..mnajulikana kwa kutumia mat..ko kuifikiria.
Tatizo lenu kambi yenu Ina gundu...sasa umeanza kuwashwa na porojo zenu za karne,mara riziwani mara catherine,unataka ndoa ya jinsia moja ukaolewe na riziwani nini maana hauishi kutaja jina lake mke wa Freddy wewe..we kilaza kambi yako inanyimwa usingizi na Magige balaaa,Magige hawezi kaa kambi ya Wehu...Wala hakuna churn anaeweza kumnunua Mwalusamba kibaka wewe...
 
C

Chimba vituz

Member
Joined
Jun 13, 2013
Messages
35
Likes
1
Points
0
C

Chimba vituz

Member
Joined Jun 13, 2013
35 1 0
Nasikitika kuona jitu zma linakua ongo kama shetani mleta uzi kadanganya mimi nilikuepo eneo husika nape alizomewa sawasawa akiwa na msafara wake,achen kudanganya uma hiloooo hovyo.[/QUOT
Wewe utakua mama uliemzaa shetani,kama si wa ukoo huo,hapa ni kwa Great Thinkers wewe Poorest Thinker sijui umekurupukia wapi na mijanaba yako,nenda kaoge kwanza ndio urudi pimbi weee
 
TECHMAN

TECHMAN

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Messages
2,669
Likes
186
Points
160
TECHMAN

TECHMAN

JF-Expert Member
Joined May 20, 2011
2,669 186 160
Mnec Goddy Mwalusamba,ni kweli ni kijana makini,maana kwanza anawapongeza Wananchi wa Arusha kwa maamuzi ya 2010,kwa maana ilikua haki yao ya kikatiba na kidemokrasia kufanya maamuzi ya kuwapigia kura chadema hususan kwa ahadi zilizokua zimetolewa kwa maana zilionyesha ukombozi wa Kada zote za Arusha,sasa anahoji vipi hao madiwani walifanikiwa kutekeleza! Na Kama hawakutekeleza hata moja hoja zao ni zipi Leo hii?Na kuwataka Wananchi wapime katika utawala wa CCM yalifanyika yapi na utawala wa CDM yapi pia!kisha watajua wapi pa kupeleka kura zao..
hii ndio "Strong Politics"tunatakiwa kujenga hoja zenye tija na si vituko,watu wanapojitokeza wakataka majawabu ya kero zao na sio mbwembwe..
Mungu ibaraki Arusha,Mungu ibaraki Tanzania.
Usichelewe kuchukua fungu lako leo, siunajua leo ijumaa lumumba tunafanya kazi half day. Upatapo ujumbe huu waambie na wenzako. Kwa watakao chelewa tukutane ile sehemu yetu jioni kuanzia saa 12.
 
C

Chimba vituz

Member
Joined
Jun 13, 2013
Messages
35
Likes
1
Points
0
C

Chimba vituz

Member
Joined Jun 13, 2013
35 1 0
Nasikitika kuona jitu zma linakua ongo kama shetani mleta uzi kadanganya mimi nilikuepo eneo husika nape alizomewa sawasawa akiwa na msafara wake,achen kudanganya uma hiloooo hovyo.
Wewe utakua ni mama yake shetani Kama si wa ukoo wake,hapa kwa Great Thinkers na si Kwa Poorest Thinkers Kama wewe,sijui umekurupukia wapi asubuhi hii na mijanaba yako,nenda kaoge kwanza ndio urudi rais wa makubwa jinga duniani wewe..
 
Forum statistics

Threads 1,272,646
Members 490,095
Posts 30,455,941