Wamedhamiria afya chafu, elimu duni na umasikini (kilimo mwisho)

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Aug 9, 2007
18,697
8,843
Kwa Mujibu wa Vipaumbele vya bajeti ya 2013/2014 kama ilivyosomwa jana Elimu na Afya ni za mwisho. Kilimo ni Kipaumbele number NNE.

Je kweli Tutafika?
Ni wazi kuwa karibu asilimia 80 ya watanzania wantegema KILIMO kupata Kipato, Je Unapowatenga unategemea nini kama sio kuendeleza Umasikini?

[h=5]VIPAUMBELE VYA SERIKALI 2013/2014
1.Miundombinu ya uchumi
2.Nishati na umeme
3.Usafirishaji-Barabara,Reli na Anga
4.Kilimo na Umwagiliaji
5.Viwanda
6.Rasilimali watu
7.Huduma za utalii,biashara na Fedha
8. Huduma za kijamii
9.Elimu
10.Afya
11.Maji (Maji safi na salama,maji taka)
[/h]
 
Uzuri ni kwamba ujinga wao na kujisahau kwao kupita kiasi ndo kaburi lao kuanzia sasa,kama wanaweza wasione bado umuhimu wa sekta ya elimu na afya na huduma za jamii kwa pamoja basi kifuatacho twakijua sie wananchi tunaoelewa nini kinaendelea huku chini make wao wanaishi juu maghorofani kwahyo huku chini hawapaoni
 
Back
Top Bottom