Hivi mbona simsikii Dk. Shein akizuru Ulaya? Au hajui kingereza?

Status
Not open for further replies.

Texas Tom.

JF-Expert Member
Jun 8, 2013
510
0


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na madaktari wa kichina waliofika ikulu mjini zanzibar kumuaga baada ya kumaliza muda wao wa kazi.
 

Attachments

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,572
2,000
Jamaa anaMbania sana! Lakini mara ya mwisho Shein aionekana Italy Rome na China, nahisi alikwenda kwakujilazisha sana japokua hata kama jamaa alikasirika!
 

Bijou

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
1,193
1,500
View attachment 97670

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na madaktari wa kichina waliofika ikulu mjini zanzibar kumuaga baada ya kumaliza muda wao wa kazi.

Mtoa Uzi kidhungu unakijua, au nawe ni wale wa yes no yes no, mzungu kaiba fenesi tena kashiba upesi ??????
 

Android 00

JF-Expert Member
May 23, 2013
775
195
Hajui akienda ulaya ajiite vipi? Sheni, rais wa pwani? Rais wa Zfa, sidhani kama itakua sahihi akifika nchi zenye sheria akijiita Rais wa ZNZ.
 

mazoo

JF-Expert Member
Mar 15, 2013
215
0
To be fair ,viongozi toka Z'bar ,toka zamani ni waadirifu.

MAFISADI wote ni toka Tanganyika,nini sisi Watangayika inabidi kuwa sort out
 

ANC-KWA ZULU NATAL

JF-Expert Member
Jun 5, 2013
325
0
Dk. Shein ni msomi mzuri sana amepiga shule ujeruman na phd yake ni ya ukweli si ya kuunga style yake ya kazi ni kama mkapa& lowasa type si watu wanaopenda kuzurura ulaya wanapenda kufanya kazi kwa ukarbu na wananchi ndani ya nchi unajua ata ugomvi wa jk na lowasa ulianza hivi...jk alkuwa anasafri sana nje na lowasa anazunguka kila wilaya kuhamasisha utendaji ...watu wa karbu na jk wakamwambia wewe unashnda ulaya daily mwenzako lowasa anapta wilayani na ktk mikoa na kwa sasa wakuu wa wilaya na mikoa wanamheshmu kulko wewe na anapanga safu 2010 anataka agombee urais bifu likaanza so dk.shein si desturi yake kuwa hewan daily kama baba naniiiiiiiiii....
 

MeinKempf

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
11,121
2,000
Hivi wewe mleta mada nani kakuambia kuwa kwenda ulaya sana ndo kujua kiingereza?? Kwa kukusaidia juu ya huyu mtu unayehisi kuwa ni mburura soma hapa
maelezo mafupi kuhusu dr. shein , kisha pima kama hajui hicho kiingereza chako unachosema , kwani ulaya (ng'ambo) hajaanza kwenda leo na kumbuka ufanisi wa kiongozi haupimwi kwa kwenda sana nje ya nchi wala kujua sana kingereza mfano: rais wa china, rais wa urusi,rais wa ufaransa rais wa ujerumani na mataifa mengine uyajuayo wewe kawaulize kama kujua sana kiingereza au kwenda xana nje ya nchi ndo utasikika sana , kisha utapata majibu.
Mjue dr. shein japo kwa ufupi tu itakusaidia.

Shein completed his secondary education at Lumumba College, Zanzibar. In 1969–1970 he joined Preparatory Faculty, Voronezh State University, USSR for “A” Level High Education before he took an undergraduate course from 1970–1975 at Odessa State University, USSR 1984–1988. Dr. Shein attained A Master of Science in Medical Biochemistry at the Medical School University of Newcastle England, U.K. Dr.Shein was awarded Doctor of Philosophy (PhD) in Clinical Biochemistry and Metabolic Medicine, specializing in “Inborn Errors of Metabolism”. He also studied HIV/AIDS in Developing Countries at the University of East Anglia.
Dr.Shein worked as a Clerk at the Ministry of Education and Assistant to the Deputy Principal Secretary from May 1969 – September 1969. In 1976–1984 he was Head of the Department of Diagnosis and the Department of Patgy at the Ministry of Health. He was also Specialist in Diagnosis and Head of the Department of Pathology, Ministry of Health from 1989–1991. From Nov. 1991 – July 1995 Dr.Shein served as a Programme Manager, AIDS Prevention Project at the Ministry of Health, and Advisor to the Ministry on Laboratory Services and Diagnosis. Dr. Shein was appointed by the President of Zanzibar to be Member of the House of Representatives on 29 October 1995. He was then appointed Deputy Minister of Health on 12 November 1995.From 6 November 2000 he was Member of the House of Representatives at Mkanyageni Constituency in Zanzibar before appointed to be a Minister of State, President’s Office, Constitution and Good Governance in Zanzibar on 22 November 2000 and later on Vice President of Tanzania July 2001.[2]
 

scramble

JF-Expert Member
Nov 29, 2012
1,593
0
sheim mi msomi mzuri na akiongea kiingereza hutopenda amalize. kwa kuwa znz hawana wizara ya mambo ya nje, jambo hilo limewafunga sn kuwasiliana na ulimwengu wa nje. that's why wanadai mambo ya nje yawe nje ya muungano ili wawe na uhuru kamili
 

Black Jesus

JF-Expert Member
Mar 7, 2008
256
195
For your information Shein ni (Rais wa kilemba cha ukoka) wanavyoita kule visiwani kwa upande wetu sisi Tanzania bara Sheni ni Waziri asiye kuwa na wizara malum kwa maana hiyo hazimi wala hawashi hakukuwa na haja hata ya kuliongele hilo jina ni kupoteza wakati .
 

ben van mike

JF-Expert Member
Aug 27, 2010
467
170
Tuweke longolongo pembeni shein ni kichwa mtendaji zaidi sio mzururaji Kama dhaifu cheki cv yake tu hata uki google tu cv yake kasoma uk ana phd etc sasa unataka useme Jamaa awezi kujieleza !
 
Status
Not open for further replies.
Top Bottom