Zanzibar askari hurusha risasi sehemu ya mkusanyko wa watu hali ya kuwa watu wametulia

abdul 28

JF-Expert Member
May 29, 2012
325
38
polisi zanzibar hufyatuwa risasi huku raiya wakiwa wametulia hayo yametokea darajani

walianza kutega mabomu munamo miaka ya ya elfumbili na kuwabebesha makosa uamsho cuf

hicho ndio kilikuwa kichaka au msitu wao na watanganyika kukosa akili za kufikiria munakubali kwa uamsho au cuf wanahusika

na kuandika comment za kuwabanza wazanzibar

sasa hamujiulizi tangu kutokea miripuko tanzania ile ya zanzibar na ya tanganyika kuna uchunguzi ulio kamilika au kuna mtuhumiwa aliye shikiliwa

na akishikiliwa ushahidi unakuwa ni dhaifu sababu kesi huwa za kubambikiza na kupachikia

haya ccm na serekali ya muungano usalama wa taifa na jeshi la polisi ndio linalo husika
 
Tatizo watanganyika wengi wamepandikizwa fikra za baba yao wa taifa, ndio maana wanashindwa kufikiria kwa akili na ufahamu wao.....!!! Yakitokea zanzibar wanasema ya uamsho....!!! Jee..?? Hilo la arusha nalo vipi....!!! Pia uamsho....!!! Poleni sana watanganyika baba enu wa taifa ameshakufa sasa mnapaswa kufikiria kwa fahamu zenu na sio propaganda za nyerere kwa kushirikiana na hao wanaoitwa eti usalama wake wa taifa...!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom