DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,652
- 2,642
Kituo changu ni kijenge kati,naenda kumchinjia baharini Gamba kama kawa,SIHANYI bomu wala bunduki.Siogombi mbinu yoyote ya Mwigulu Savimbi,nachagua mgombea wa cdm kwa Hasira zote.HII NI OPERATION TOKOMEZA KABISA CCM ARUSHA MJINI (OTOKAA)