Hotuba ya Bajeti 2013-14: Ni kukosa umakini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hotuba ya Bajeti 2013-14: Ni kukosa umakini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by SMU, Jun 16, 2013.

 1. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2013
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,670
  Likes Received: 1,710
  Trophy Points: 280
  Naangalia jedwali katika aya ya 132 ukurasa wa 120 wa houtuba ya bajeti (http://www.mof.go.tz/mofdocs/msemaji/HOTUBA%20YA%20SERIKALI-BAJETI.pdf). Matumizi ya Kawaida (katika mstari "G") ni shilingi 2,574,949 milioni na yale ya halmashauri ni shilingi 04,549 milioni. Naamini namba hizo hazipo sahihi.

  Nimetizama pia version ya kiingereza ya hotuba hii ya bajeti ambayo inapatikana katika wavuti wa Wizara ya Fedha (http://www.mof.go.tz/mofdocs/msemaji/Budget%20english%202013.pdf) nayo pia haija balance (mapato yanazidi matumizi kwa karibu bilioni 100!) - hii pengine inatokana tofauti iliyopo katika kiwango cha mikopo ya kibiashara (Non Concessional Borrowing) - version ya kiingereza inonesha TZS 1,256,400 milioni wakati ile ya kiswahili inaonesha TZS 1,156,400 milioni!

  Pengine ni makosa ya uchapaji tu ambayo sote tungeweza kufanya lakini linapokuja suala nyeti kama bajeti ya taifa, makosa haya yanaweza kuashiria matatizo makubwa zaidi hasa kukosa umakini katika vitu vya msingi.
   

  Attached Files:

 2. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2013
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,795
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 160
  Problem loading page... Server not found
   
 3. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #3
  Jun 16, 2013
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,670
  Likes Received: 1,710
  Trophy Points: 280
  Nimeweka attachments mkuu, just in case links zinagoma kufunguka.
   
 4. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #4
  Jun 16, 2013
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kitu kimoja nilichokishtukia kwenye bajeti hii hasa lilipokuja suala la kutaja fungu lililotengwa kwenye matumizi fulani waziri alikuwa anakwepa kutumia maneno kama bilioni na trilioni ili kutufumba macho tuone ni hela ndogo tu. Kwa mfano kama zimetengwa bilioni 4 basi waziri atasema zimetengwa milioni elfu 4 vivyo hivyo kama zimetengwa trilioni 4 atasema bilioni elfu 4.

  Unajua mtu akisikia neno bilioni au trilioni lazima ashtuke na kujua zinaenda kufanya nini na wapi. Nadhani waziri huyu ambaye tulidhani ni mtendaji kuliko mwanasiasa sasa amebadilka
   
Loading...