Adam Chagulani usifikiri tulikuchagua kwa kukupenda wewe ila ulibebwa na chama (CHADEMA)

N

Nzagabulu

Member
Joined
Jan 3, 2013
Messages
59
Likes
0
Points
13
N

Nzagabulu

Member
Joined Jan 3, 2013
59 0 13
Toka avuliwe uanachama ndani ya CHADEMA diwani wa mahakama kata ya Igoma Adam Chagulani amekuwa akiweweseka kisiasa hadi kupelekea kutumika na chama cha magamba (ccm) Kana kwamba haitoshi amekuwa akifanya jitihada za kuwasahawishi vijana wa CDM kujiunga na chama kilichopata usajili hivi karibuni (Chauma).

Kimsingi sina tatizo na yeye kushawishi vijana kumuunga mkono kwani ni haki yake ila tatizo ni kuwa awe anaongea na kukubaliana na wahusika kwanza kabla ya kuwapa vyeo pasipo wao kujua na kuwaweka katika mtandao.

Huyu bwana mdogo inabidi atambue kuwa tulimuunga mkono kwa sababu ya chama chake.

=============
Majibu ya Adam:

Kuna wazushi wa kupika majungu na kuaminisha watu uongo mtamu na kauli vifuniko bila kuzingatia uhalisia wa mambo na ulivyo wake.

Nzagabulu ameeandika uzushi kuwa wana Igoma walichagua Chadema kama hivyo ndivyo anijibu swali langu kama walichagua chama kwanini kwenye kata zingine hawakuchagua wagombea wa Chadema. Wewe kama unataka kugombea Udiwani jiaandae wanaigoma watakuelewa kama wewe ni mkweli unawakilisha maslahi ya jamii watakuchagua tu, waatu wanataka maendeleo siyo siasa za kwenye mitandao zisizojenga, njoo Igoma uwambie wana Igoma humu hakuna wapiga kura wa Igoma wala hawatakusaidia lolote lile.

Usilolijua uliza umeongea umeongea uzushi kuwa nimeuza mlima ni vyema ungesema mlima upi? Na nimemuuzia nani? Na bei gani ,cds ya kuuza kituo cha polisi imechija sasa mmekuja na uzushi mwingine hilo nalo litapita hizo ni kauli vifuniko na ukweli bandia, kupigia kampeni NCCR Mageuzi hilo ni kweli ni haki yangu kufanya hivyo kueneza habari,sijui dhambi iko wapi sasa.

Kumbuka kuwa ukandamizaji unaweza kuondoa ari ya kukitetea ,kukijenga au kukilinda chama sababu watu wanajikuta hawana sababu ya kutetea mifumo inayowakandamiza,kuwadidimiza au kuwadhalilisha.

Chama kinachojitakia mema hakina budi kuwa chama cha wapenda haki. Chama kilicho tayari kila mahali bila kujali nani wa kumteta na nani wakuto mtetea, wakati wakati wanadamu wanakuwazia kushindwa Mungu anakuwazia kushinda. Wanapowaza kuanguka kwako Mungu anawaza kukuinua, wanaposhangilia kuwa wamekumaliza Mungu analeta msaada maishani mwako, wanapopanga uaibike Mungu anaondoa aibu yako.

Kujiunga na chama chochote kile ni haki yangu ya kuzaliwa na kikatiba Siku nikiamua kujuinga na chama chochote hakuna wa kunuzuia, kama nimekwisha kisiasa kwanini unaweweseka kiasi hicho Mungu ndiye mpaji siyo wewe na waliokutuma kutumia IDs fake jitokeze hadharani useme usijifiche kwenye giza najua wewe mwenye unatambua uwezo wangu.

Uzushi wenu wanaigoma hawauhitaji wanataka kazi ninyi endeleeni na siasa za maji taka mtanikuta field nafanya kazi wanaigoma wanajua thamani na uwezo wangu Mungu yuko na mimi
 
F

Farudume

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2013
Messages
3,916
Likes
2,947
Points
280
Age
32
F

Farudume

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2013
3,916 2,947 280
Dhambi ya Usaliti itamtafuna Milele.
 
Vijijini Lawama

Vijijini Lawama

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Messages
298
Likes
1
Points
35
Vijijini Lawama

Vijijini Lawama

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2012
298 1 35
Hiyo ndo dhambi ya kutumikia mabwana wawili, umimi na mwenyepesa (ccm)
 
P

Pwaaaa

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2013
Messages
248
Likes
0
Points
0
Age
43
P

Pwaaaa

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2013
248 0 0
Juzi alikuwa Sengerema anamnadi mgombea udiwani wa NCCR-Mageuzi kata ya Nyampulukano!. Nasikia kauza na mlima huko IGOMA
 
A

asakuta same

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2011
Messages
15,035
Likes
99
Points
0
A

asakuta same

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2011
15,035 99 0
kutapatapa kisiasa mbaya sana
 
L

Lilambo

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2013
Messages
2,524
Likes
6
Points
135
L

Lilambo

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2013
2,524 6 135
Huu ni mwanzo na mtageukana sanaaa. Na hii chauma itawabebea wanachama.
 
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
6,739
Likes
1,001
Points
280
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2012
6,739 1,001 280
ndo amekufa kisiasa, pole sana chagulani
 
C

Chagulani Adams

Verified Member
Joined
Jan 24, 2010
Messages
13
Likes
0
Points
0
C

Chagulani Adams

Verified Member
Joined Jan 24, 2010
13 0 0
Kuna wazushi wa kupika majungu na kuaminisha watu uongo mtamu na kauli vifuniko bila kuzingatia uhalisia wa mambo na ulivyo wake.

Nzagabulu ameeandika uzushi kuwa wana Igoma walichagua Chadema kama hivyo ndivyo anijibu swali langu kama walichagua chama kwanini kwenye kata zingine hawakuchagua wagombea wa Chadema. Wewe kama unataka kugombea Udiwani jiaandae wanaigoma watakuelewa kama wewe ni mkweli unawakilisha maslahi ya jamii watakuchagua tu, waatu wanataka maendeleo siyo siasa za kwenye mitandao zisizojenga, njoo Igoma uwambie wana Igoma humu hakuna wapiga kura wa Igoma wala hawatakusaidia lolote lile.

Usilolijua uliza umeongea umeongea uzushi kuwa nimeuza mlima ni vyema ungesema mlima upi? Na nimemuuzia nani? Na bei gani ,cds ya kuuza kituo cha polisi imechija sasa mmekuja na uzushi mwingine hilo nalo litapita hizo ni kauli vifuniko na ukweli bandia, kupigia kampeni NCCR Mageuzi hilo ni kweli ni haki yangu kufanya hivyo kueneza habari,sijui dhambi iko wapi sasa.

Kumbuka kuwa ukandamizaji unaweza kuondoa ari ya kukitetea ,kukijenga au kukilinda chama sababu watu wanajikuta hawana sababu ya kutetea mifumo inayowakandamiza,kuwadidimiza au kuwadhalilisha.

Chama kinachojitakia mema hakina budi kuwa chama cha wapenda haki. Chama kilicho tayari kila mahali bila kujali nani wa kumteta na nani wakuto mtetea, wakati wakati wanadamu wanakuwazia kushindwa Mungu anakuwazia kushinda. Wanapowaza kuanguka kwako Mungu anawaza kukuinua, wanaposhangilia kuwa wamekumaliza Mungu analeta msaada maishani mwako, wanapopanga uaibike Mungu anaondoa aibu yako.

Kujiunga na chama chochote kile ni haki yangu ya kuzaliwa na kikatiba Siku nikiamua kujuinga na chama chochote hakuna wa kunuzuia, kama nimekwisha kisiasa kwanini unaweweseka kiasi hicho Mungu ndiye mpaji siyo wewe na waliokutuma kutumia IDs fake jitokeze hadharani useme usijifiche kwenye giza najua wewe mwenye unatambua uwezo wangu.

Uzushi wenu wanaigoma hawauhitaji wanataka kazi ninyi endeleeni na siasa za maji taka mtanikuta field nafanya kazi wanaigoma wanajua thamani na uwezo wangu Mungu yuko na mimi
 
dogojanja 87

dogojanja 87

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
883
Likes
13
Points
35
dogojanja 87

dogojanja 87

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
883 13 35
Mshikaji hata mikutano yake igoma ni aibu tu,haina watu,alichaguliwa kwa title ya cdm,hakuna aliekua anamfahamu kabla labda waliosoma nae chuo.wanamwanza hatupendi unafiki,ajiandae kuachia kata.mambo ya kufuata watu haya,wamemdanganya asimamie chauma kakubali kichwa kichwa,aibu yake
 
T

tenende

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2012
Messages
6,559
Likes
10
Points
135
T

tenende

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2012
6,559 10 135
Chagulani, una miaka mingi sana ya kufanya siasa kama ilivyo kwa eddo, Mtela na shonza... Kama uamuzi wa kuhama CHAMA ukiufanya kwa maamuzi binafsi "it is well and good" ...Lakini kama ni kweli unataka kwenda CHAUMA kaka ni mkumbo tu!...

Umesema vema kuhusu bible ...SIMAMA KWA MIGUU YAKO!... Mpango wa kuanzisha CHAUMA ni uhuni tu mkuu;

Ila mgogoro wako na CDM ni PUSH FACTOR!!!!!!
 
M

MT KILIMANJARO

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Messages
4,214
Likes
36
Points
145
Age
36
M

MT KILIMANJARO

JF-Expert Member
Joined Apr 19, 2013
4,214 36 145
Kuna wazushi wa kupika majungu na kuaminisha watu uongo mtamu na kauli vifuniko bila kuzingatia uhalisia wa mambo na ulivyo wake.

Nzagabulu ameeandika uzushi kuwa wana Igoma walichagua Chadema kama hivyo ndivyo anijibu swali langu kama walichagua chama kwanini kwenye kata zingine hawakuchagua wagombea wa Chadema. Wewe kama unataka kugombea Udiwani jiaandae wanaigoma watakuelewa kama wewe ni mkweli unawakilisha maslahi ya jamii watakuchagua tu, waatu wanataka maendeleo siyo siasa za kwenye mitandao zisizojenga, njoo Igoma uwambie wana Igoma humu hakuna wapiga kura wa Igoma wala hawatakusaidia lolote lile.

Usilolijua uliza umeongea umeongea uzushi kuwa nimeuza mlima ni vyema ungesema mlima upi? Na nimemuuzia nani? Na bei gani ,cds ya kuuza kituo cha polisi imechija sasa mmekuja na uzushi mwingine hilo nalo litapita hizo ni kauli vifuniko na ukweli bandia, kupigia kampeni NCCR Mageuzi hilo ni kweli ni haki yangu kufanya hivyo kueneza habari,sijui dhambi iko wapi sasa.

Kumbuka kuwa ukandamizaji unaweza kuondoa ari ya kukitetea ,kukijenga au kukilinda chama sababu watu wanajikuta hawana sababu ya kutetea mifumo inayowakandamiza,kuwadidimiza au kuwadhalilisha.

Chama kinachojitakia mema hakina budi kuwa chama cha wapenda haki. Chama kilicho tayari kila mahali bila kujali nani wa kumteta na nani wakuto mtetea, wakati wakati wanadamu wanakuwazia kushindwa Mungu anakuwazia kushinda. Wanapowaza kuanguka kwako Mungu anawaza kukuinua, wanaposhangilia kuwa wamekumaliza Mungu analeta msaada maishani mwako, wanapopanga uaibike Mungu anaondoa aibu yako.

Kujiunga na chama chochote kile ni haki yangu ya kuzaliwa na kikatiba Siku nikiamua kujuinga na chama chochote hakuna wa kunuzuia, kama nimekwisha kisiasa kwanini unaweweseka kiasi hicho Mungu ndiye mpaji siyo wewe na waliokutuma kutumia IDs fake jitokeze hadharani useme usijifiche kwenye giza najua wewe mwenye unatambua uwezo wangu.

Uzushi wenu wanaigoma hawauhitaji wanataka kazi ninyi endeleeni na siasa za maji taka mtanikuta field nafanya kazi wanaigoma wanajua thamani na uwezo wangu Mungu yuko na mimi
Ndugu Adam Chagulani unanisikitisha na majibu yako mepesi sana hususan ukiwa mwanasiasa. Umejitahidi sana kuwagawa vijana wa hapo igoma lakini mwisho wa siku wamekuchoka sasa kwani huna tena sera. Nakumbuka kuna kijana wako mmoja ulimtuma akuangalizie upepo wa wananchi juu yako lakini kutoka na upeo wako kua mdogo sawa na wako alikuja na kutueleza juu ya mipango yako. Chagulani tambua wana IGOMA HAWAKUKUBALI HATA KIDOGO NA NI NYOTA YA CDM NDIO ULIOSAFIRIA. Wana IGOMA wamekuchoka sasa kwani wana amini huna msimamo we ni sawa na mwanamke anayejiuza. Kijana mwenzangu Chagulani hebu jaribu kushirikisha sehemu ya ubongo wako kidogo popote najua upeo wako ni mdogo sana kwani hujitambui naweza sema hata Jinsia yako huitambui. Kumbuka ON THE FIELD OF OBSERVATION CHANCE FAVOUR ONLY PREPARED.
 
mdeki

mdeki

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Messages
3,304
Likes
48
Points
145
mdeki

mdeki

JF-Expert Member
Joined Mar 28, 2011
3,304 48 145
Usaliti na fitina ni sifa za saiasa
 
C

Chagulani Adams

Verified Member
Joined
Jan 24, 2010
Messages
13
Likes
0
Points
0
C

Chagulani Adams

Verified Member
Joined Jan 24, 2010
13 0 0
Ndugu Adam Chagulani unanisikitisha na majibu yako mepesi sana hususan ukiwa mwanasiasa. Umejitahidi sana kuwagawa vijana wa hapo igoma lakini mwisho wa siku wamekuchoka sasa kwani huna tena sera. Nakumbuka kuna kijana wako mmoja ulimtuma akuangalizie upepo wa wananchi juu yako lakini kutoka na upeo wako kua mdogo sawa na wako alikuja na kutueleza juu ya mipango yako. Chagulani tambua wana IGOMA HAWAKUKUBALI HATA KIDOGO NA NI NYOTA YA CDM NDIO ULIOSAFIRIA. Wana IGOMA wamekuchoka sasa kwani wana amini huna msimamo we ni sawa na mwanamke anayejiuza. Kijana mwenzangu Chagulani hebu jaribu kushirikisha sehemu ya ubongo wako kidogo popote najua upeo wako ni mdogo sana kwani hujitambui naweza sema hata Jinsia yako huitambui. Kumbuka ON THE FIELD OF OBSERVATION CHANCE FAVOUR ONLY PREPARED.
.
Ni kuombe ujiandaa kugombea wewe na hao waliomaliza shule sijui walikuwa wapi? Siku zote hizo leo wanajifanya wajuaji kati yangu mimi na wewe sijui nani anaupeo mdogo maana hata ID unayotumia ni feki,Simba mzee huwezi kumlinganisha na fisi kijana ,wanaigoma wapi? Unaowasema wewe hawanikubali sema wewe hunikubali hata kidogo ni haki yako pia kumbuka hakuna aliyemzuri kwa wote wala mbaya kwa wote huo ndiyo uhalisia wenyewe wanaigoma wanajua mchango wangu,sijui usaliti upi huo unao usema wewe nimeufanya au umelishwa maneno na kuyatapika kama kasuku fanya utafiti jisumbue kutafakari hata kwa muda ujue ukweli nyie ndiyo mnaoandika hukumu za watu vijiweni hizo ni kauli vifuniko za kutiana matumaini yasiyo na maana km hawanikubali jiandae uje wewe wanaigoma watakupima kwa uwezo wako,aliyepewa kapewa kumbuka mimi ni mpinzani elewa kuwa kugombana na sheikh au askofu hakuondoi uislamu wangu au ukristo wangu nitaendelaea kuwatumikia wanaigoma kwa moyo mkunjufu bila kujali wazandiki km ninyi mnasema nini? Wanaigoma wanhitaji maendeleo siyo unazi wa vyama na ushabik usio na tija
 
1

1army

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2012
Messages
513
Likes
1
Points
33
1

1army

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2012
513 1 33
nakumbuka nilikua mwanza kipindi cha uchaguzi na nilimchangia sana pesa huyu bwana mdogo, tatizo kichwani patupu na degree yako moja, shukulu sana Taqwa na c zako tatu!
 
Safety last

Safety last

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Messages
4,235
Likes
189
Points
160
Safety last

Safety last

JF-Expert Member
Joined Mar 24, 2011
4,235 189 160
huyu kilaza ametoka wapi..
 
N

Nzagabulu

Member
Joined
Jan 3, 2013
Messages
59
Likes
0
Points
13
N

Nzagabulu

Member
Joined Jan 3, 2013
59 0 13
Dogo usijigambe wakati tumefanya kazi kubwa kukunadi. kwanza usitudanganye kua unakubalika wanaokukubali ni ccm wanaokutumia na kukuhonga vihela
 
S

SomBomBo

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2013
Messages
239
Likes
2
Points
35
S

SomBomBo

JF-Expert Member
Joined May 22, 2013
239 2 35
Changudoa, kila mwanaume akija anapiga tu hela mbele. Kamata dagaa PIGA!
 
Kilimo

Kilimo

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Messages
779
Likes
27
Points
45
Kilimo

Kilimo

JF-Expert Member
Joined Sep 27, 2011
779 27 45
pole sana chagulani kwa yote yanayokupata ila ulijitakia na kumbuka siku zinahesabika tu ipo siku tutarudi kwenye sanduku la kura na hiyo ndo itakuwa tamati yako ya uanasiasa, viva CDM.
 
Forum statistics

Threads 1,272,952
Members 490,211
Posts 30,465,791