Mgogoro wa CCM Bukoba: Kinana ajitosa kutafuta suluhu!

DJ Baraka

Senior Member
May 15, 2013
177
82
Siasa za hapa sijui ni kwa nini,
jambo dogo kama hili linamleta katibu mkuu wa chama? hii ni aibu kwa Kinana.

sababu za ujio wake na mengine ni kama yalivyoanishwa hapa jana
https://www.jamiiforums.com/habari-...suka-vipande-vipande-viongozi-wajiudhuru.html

Tayari vongozi wa CCM mkoa,wilaya na serikali wapo uwanja wa ndege bukoba wamemsubiri huyo kiongozi,

kama kawa JF itawajuza kila kitu kianchoendelea.

endelea kuwa nasi

Update:1
Kilichokea katika uwanja wa ndege Bukoba leo wakati wa kumpokea kinana ni MAJANGAAA
Kinana amepokelewa na mabango na umati wa watu wanapinga mwenyekiti wa mkoa kuteua mtu anayeitwa nyerere ambaye anatuhumiwa kueneza mambo ya udini katika jimbo la bukoba,wanataka abatilishe uamuzi wake.

Kinana amelazimishwa kuhutubia wananchi na kuwaomba muda kidogo ili akutane na viongozi wa chama.

hapa ngoma bado mbichi na hivi punde nitaigiza video na MAPICHAAAA

Nitakujuza kila kitu
 
Asante; please keep us posted, Mangula O; Nnauye 0; bila shaka na huyu mzaliwa wa Hargeisa atapata 0 kama wenzake!
 
Hapo ndio Sarakasi zitakapoonekana.Kwa hali ilivyo sasa,Wanachama wa CCM wana Busara kuliko Viongozi wao.Viongozi wamechaguliwa Kishkaji hivyo ni vigumu sana kuweza kutatua Migogoro ya Watu waliowazidi Uelewa.
 
Kinana atatuwe nini?. Angeratuwa tatizo la EPA, RADA na Richmond
 
Update:1
Kilichokea katika uwanja wa ndege Bukoba leo wakati wa kumpokea kinana ni MAJANGAAA
Kinana amepokelewa na mabango na umati wa watu wanapinga mwenyekiti wa mkoa kuteua mtu anayeitwa nyerere ambaye anatuhumiwa kueneza mambo ya udini katika jimbo la bukoba,wanataka abatilishe uamuzi wake.

Kinana amelazimishwa kuhutubia wananchi na kuwaomba muda kidogo ili akutane na viongozi wa chama.

hapa ngoma bado mbichi na hivi punde nitaigiza video na MAPICHAAAA

Nitakujuza kila kitu
 
Update:1
Kilichokea katika uwanja wa ndege Bukoba leo wakati wa kumpokea kinana ni MAJANGAAA
Kinana amepokelewa na mabango na umati wa watu wanapinga mwenyekiti wa mkoa kuteua mtu anayeitwa nyerere ambaye anatuhumiwa kueneza mambo ya udini katika jimbo la bukoba,wanataka abatilishe uamuzi wake.

Kinana amelazimishwa kuhutubia wananchi na kuwaomba muda kidogo ili akutane na viongozi wa chama.

hapa ngoma bado mbichi na hivi punde nitaigiza video na MAPICHAAAA

Nitakujuza kila kitu

Lakini DJ Baraka nahisi ni wewe DJ ktk Redio Kasibante hapo Bukoba. Kama ni hivyo ni vizuri ukaweka Disclaimer. Pia kama una email ya Kinana ama Nape uniwekee ili niweze kuwatumia maoni yangu pia
 
KINANA ATUA MJINI BUKOBA ni kufuatia SAKATA la jana ambapo kikao cha halmashauri kuu ya CCM Mkoa kilimteua Ndg Philbart Nyerere kuwa mjumbe wa kikao hicho na kudhua taflani kitendo kilichopelekea Ndg Abdul Kagasheki(Kananga) kuamua kujiuzuru UNEC , ingawa mwenyekiti anamamlaka kiutendaji.
Sakata hilo limepelekea Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kufika Mjini hapa kutafuta suluhu, akiwa uwanja wa ndege Mjini Bukoba leo, KINANA amepokelewa na WANACHAMA wa CCM WAKIWA NA MABANGO YANAYO PINGA KITENDO cha Mwenyekiti wa mkoa kumteua Ndg Philbart Nyerere wakimtuhumu kueneza siasa za udini ndani ya Jimbo la Bukoba.

Akiwa bado uwanjani hapo imemladhimu Kinana kuhutubia wanachama hao kwa ufupi na kuwaomba muda kidogo ili akutane na viongozi wa chama.
 
Back
Top Bottom