Exaud Mamuya
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 403
- 242
1. Mwigulu Nchemba
Kiongozi huyu wa CCM amekuwa akitoa kauli zenye utata hapa jijini Arusha pamoja na kwenye mitandao ya kijamii ambazo moja kwa moja zinapelekea kuhisi kiongozi huyu anafamu moja kwa moja kilichojificha nyuma ya pazia kwenye urushaji huu wa bomu uliopelekea kuua watu na kujeruhi watu zaidi ya 70.
2. Mtela Mwampamba
Kada huyu wa CCM amekuwa akisema katika mikutano ya hadhara ya CCM pamoja na kuandika katika mitandao ya kijamii especially hapa Jamii Forum na Facebook ya kwamba anawafahamu wanaofanya mambo haya ya kigaidi na yeye amewahi kushiriki kufanya ugaidi huu kipindi alipokuwa mwanachama wa CHADEMA. Sasa ni vizuri akalisaidia jeshi la polisi kuonyesha alivyokuwa anafanya ugaidi huu alipokuwa CHADEMA.
3. Gasper Kishumbua
Huyu ni kiongozi wa CCM wilaya ya Arusha mjini ambaye kutokana na mashuhuda wa tukio la mlipuko wa bomu jana ni kwamba alikuwa upande wa bomu lilipotokea na baada ya mlipuko akaanza kupiga kelele na kusema pilisi wameamua kuua watu bila hatia.
Wana Arusha tunaliomba jeshi la polisi kuwahoji watu hawa na hakika watapata ukweli na sababu ya mlipuko wa bomu kwenye mkutano wa CHADEMA na kupelekea mauaji ya binadamu wasiokuwa na hatia.
Mungu ibariki Tanzania.