GERVAS MILEHE
Member
- Jun 16, 2013
- 23
- 4
Kwa wastan siasa za hapa kwe2 bongo ni kama m2 (mume) kabla hajampata msichana,hutoa ahad nying ilimrad ampate! akishampata,ataanza matus,oooh,m/mke mwenyewe hana adabu! kwan hukujua hili? sasa wakat unakuja,mbunge yeyote atakaepata ubunge halafu ajitie kuhamia dar nakulikimbia jimbo lake,ha2tasubir miaka mi5,ni muda huohuo anapewa talaka 3,(OUT)