WanaMtwara: Vipi Matokeo Uchaguzi Mdogo Mnima?

WanaMtwara: Vipi Matokeo Uchaguzi Mdogo Mnima?

Mwanaukweli

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2007
Posts
4,789
Reaction score
1,732
Wana Mtwara, jana kulikuwa na uchaguzi mdogo kata ya Mnima.

Pamoja na kupata habari toka kata nyingine zilizofanya uchaguzi sijasikia chochote juu ya kata ya Mnima huko Mtwara.

Mwenye habari atuwekee.
 
Mimi sijasikia hata matokeo ya kata moja kule Serengeti!
 
Taarifa nilizozipata jana usiku mida ya saa tano kuwa CCM imeshinda ,walipeleka askari kutoka mjengoni Rage na Bakari malima wakimsaidia mama Hawa Ghasia .
 
ebana ccm wameshinda .... hawa jamaa ni nyoko sijui hata wameshindaje .... sina jina1
 
Ni kweli huko hakijasikika kitu chochote.

Nilikuwa interested kujua baada ya mgogoro wa gesi matokeo yakoje huko.

cc. pisces, THE BIG SHOW, MAKOSHNELI, Mwendabure Bubu Msemaovyo

Wameshinda kwa vitisho vikubwa,

Wananchi ambao wameonekana kuwa wana nia ya kuwapigia upinzani huhusani CUF wamekua wakiambiwa kwamba hawapo katika daftari la kudumu la wapiga kura,

Ikumbukwe kwamba kata hii ilikuwa chini ya CUF na viongoz wengi wa cuf walikuwa wamefungwa kipindi hiki cha mgogoro wa gesi kwa shutuma ya kwamba wao ni wachochez,hawakuruhusiwa kufanya mikusanyiko yyte hata ya kampeni kwa kuwashutumu kwamba watachochea machafuko,

Kwa maana hiyo basi huo ni ushindi wa hila na usiokuwa na baraka za wana kusini hususan Mtwara..

Ni chama kinachotapa tapa tuh
 
Tunamtambua kama mshindi aliyepatikana kwa njia ya mabavu.
 
Wameshinda kwa vitisho vikubwa,

Wananchi ambao wameonekana kuwa wana nia ya kuwapigia upinzani huhusani CUF wamekua wakiambiwa kwamba hawapo katika daftari la kudumu la wapiga kura,

Ikumbukwe kwamba kata hii ilikuwa chini ya CUF na viongoz wengi wa cuf walikuwa wamefungwa kipindi hiki cha mgogoro wa gesi kwa shutuma ya kwamba wao ni wachochez,hawakuruhusiwa kufanya mikusanyiko yyte hata ya kampeni kwa kuwashutumu kwamba watachochea machafuko,

Kwa maana hiyo basi huo ni ushindi wa hila na usiokuwa na baraka za wana kusini hususan Mtwara..

Ni chama kinachotapa tapa tuh
Falure is falure
 
Katika maeneo ambayo nilitaraji CCM wangeakuia pua ni pamoja na uko Mtwara sasa wameshindaje?
Huu ni ubakaji wa Democrasia
 
Back
Top Bottom