Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

majeruhi wamemsimulia mkuu wa mkoa wa Arusha bw Magesa Mulongo alipokwenda kuwasabahi hospitalini.wamemwambia kwamba polisi waliwarushia risasi na mabomu mara baada ya mlipuko mkubwa kutokea.
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Nafikiri wakati umekwishawadia kwa mataifa mawili ya Tanganyika na Zanzibar kupata ufumbuzi wa mivutano yao kuhusu muungano kwenye mahakama ya kimataifa ya Katiba ili kujua hamta ya muungano kabla...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Pin ya bomu na maganda ya risasi yaliyookotwa katika uwanja wa soweto Arusha na wanajeshi yamegundulika kuwa ni toleo la kisasa mno na pia ni bidhaa za kiwanda cha China na zimezalishwa mwaka huu...
8 Reactions
90 Replies
9K Views
Tumchague huyu sumaye ni mzuri sana kwa Tanzania ijayo..
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Nauliza hivyo kiuchokozi tu kwa hawa magamba wanaoshangilia kila wanaponyang'anywa viti katika chaguzi ndogo za Udiwani. Mzunguko wa mwisho wa chaguzi ndogo za madiwani mwaka jana CCM waliambuliwa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Baada ya matukio yote haya serikali ya CCM inayowafanyia CDm, bado chama kinazidi kuwa imara na kuzidi kupendwa. Nawaomba mashushushu wa TISS waweke masiko yao kwa wananchi katika migahawa...
1 Reactions
0 Replies
968 Views
Mh Frederick Tluway Sumaye anaongea sasa hivi kwenye kipindi cha dakika 45 ITV.Anazungumzia kuhusu umuhimu wa usafiri wa reli ili kuimarisha uchumi wa nchi na kulinda barabara zetu,pia na vurugu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Source BBc news: nasikiliza habari sasa kuwa serikali imezuia mikusanyiko mjini Arusha wakidai kuwa hii ni kutokana na masuala ya usalama,naomba mliopo huko mtupe ukweli humu jamvini,ni kweli leo...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Ni mwaka wa sita sasa ahadi za magamba zimenichosha mara maisha bora kwa kila mtanzania wakati kuna mfumuko wa bei ya vyakula, mafuta juu yaani maisha yamekuwa magumu kila kona,hivi kama maisha...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Inauma sana. Inasikitisha sana. Jaribu kuchukulia kuwa ni ndugu yako asiye na hatia ameingia kwenye nyumba ya ibada na kuuawa. Au ndugu yako kaenda tu kwenye mkutano wa Siasa iwe ni wa CCM...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwendeni polepole jamani! Amani ni muhimu zaidi kuliko siasa.
0 Reactions
0 Replies
847 Views
Nimeshangazwa na kauli ya nape kuwa shambulio hili liliandaliwa chadema,katika hali ya kawaida ni mjinga gani gani anaweza kujishambulia mwenyewe?kama kauli hii imetoka kwa kiongozi wa CCM na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mabomu ya machozi yanapigwa muda huu,matokeo yamechelewesha kutangazwa.Watu walinataka kuvamia ofis ya mamlaka ya mjiwa Sengerema,tutaendelea kuwajulisha
0 Reactions
42 Replies
6K Views
Ikiwa ni siku moja imepita tangu tukio la kusikitisha litokee JIJINI ARUSHA, na lazimika kushangaa ni nini hasa tunachowaza kuendelea kuwa na viongozi wavivu wa kufikiri kama NAPE NNAUYE sijambo...
0 Reactions
0 Replies
850 Views
Akichangia Bajeti ya serikali leo, mbunge wa Tunduru, Abdallah Mtutura amelalamika sana juu ya bajeti ya serikali kuisahau Tunduru. Ilipofika wakati wa kutimisha akawa anasita kusema anaunga mkono...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Tulio wengi tunajua kuwa kulikuwa na uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata 26 ambapo kata 4 za Arusha mjini uchaguzi huo ulihairishwa kufanyika kutokana na mlipuko wa bomu lililo pelekea watu...
11 Reactions
44 Replies
5K Views
Kwenu wana great thinkers, Kwanza, kabla ya yote nipende kutoa pole kwa chama Cha Demokrasia na Maendeleo kwa kupoteza wanachama wao na wengine wengi kujeruhiwa katika Bomu lilitokea Soweto...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ripoti iliyosomwa na Lukuvi hivi punde amehitimsha kwa kutoa hiyo Bingo ya sh milioni 100 kwa atakayefanikisha kukamatwa kwa wahusika wa milipuko Arusha. serikali makini ya CCM baada ya kuunda...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Wazanzibar wamehoji na kumshangaa warioba wadai ameyatoa wapi maoni ya serikali tatu mpaka awe na ujasiri wa kuyaweka kwenye rasimu ya katiba? source: gazeti RAIA mwema. DUUUH wazanzibar sasa...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
CCM imeshinda kata ya Mnima-Mtwara uwez amini wameshinda kwa kura 912 dhidi ya CUF-620, NCCR-486 Na CHADEMA-227.
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Back
Top Bottom