Rasimu ya Katiba Mpya: Jina "Tanzania Bara" Linakera!


Mbelwa Germano

Mbelwa Germano

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2011
Messages
789
Likes
2
Points
0
Mbelwa Germano

Mbelwa Germano

JF-Expert Member
Joined May 7, 2011
789 2 0
Wakati ninasoma rasimu ya katika mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuna neno linakera: "Serikali ya Tanzania Bara". Sura ya kwanza, ibara ya kwanza ya rasimu hii inatamka kwamba:

"Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Shirikisho lenye mamlaka kamili ambayo imetokana na Muungano wa nchi mbili za Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar ambazo kabla ya Hati za Makubaliano ya Muungano ya mwaka 1964 zilikuwa nchi huru."


Sura ya sita ya rasimu hii ibara ya 57 (1).- kipengele (a),(b) na (c) inatamka kwamba:

Jamhuri ya Muungano itakuwa na muundo washirikisho lenye serikali tatu ambazo ni:

(a) Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania;

(b) Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar; na
(c) Serikali ya Tanzania Bara.


Kwa mujibu wa rasimu hii:

"Tanzania Bara" maana yake ni eneo lote la Jamhuri ya Muungano ambalo zamani lilikuwa eneo la Jamhuri ya Tanganyika;

"Zanzibar" maana yake ni eneo lote la Jamhuri ya Muungano ambalo zamani lilikuwa eneo la Jamhuri ya Watu wa Zanzibar;

Tatizo lipo hapa, Serikali ya Tanzania bara. Kwa kurejea neno Tanzania inamanisha kwamba:  1. Watu wa Tanganyika tumepoteza utambulisho wetu. Neno Tanzania bara haliakisi historia ya Muungano wa nchi mbili yaani Tanganyika na Zanzibar.
  2. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imetulazimisha kuingia kwenye mfumo wa serikali tatu.
  3. Watanganyika tuna hofu kubwa ya kuvunja Muungano kuliko ilivyo kwa Wazanzibar.

Tudai Tanganyika yetu.
 
mito

mito

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2011
Messages
8,926
Likes
3,935
Points
280
mito

mito

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2011
8,926 3,935 280
hata mimi nakwazika na hili jina! hivi akina warioba walipata ugumu gani kupachika jina tanganyika moja kwa moja?
 
Mbelwa Germano

Mbelwa Germano

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2011
Messages
789
Likes
2
Points
0
Mbelwa Germano

Mbelwa Germano

JF-Expert Member
Joined May 7, 2011
789 2 0
hata mimi nakwazika na hili jina! hivi akina warioba walipata ugumu gani kupachika jina tanganyika moja kwa moja?
Kuna hofu juu ya Utanganyika wetu?
 
Iron Lady

Iron Lady

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2008
Messages
4,071
Likes
153
Points
160
Iron Lady

Iron Lady

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2008
4,071 153 160
na kwa nini wasiseme tanganyika hata mimi nakereka
 
Katavi

Katavi

Platinum Member
Joined
Aug 31, 2009
Messages
40,785
Likes
5,324
Points
280
Katavi

Katavi

Platinum Member
Joined Aug 31, 2009
40,785 5,324 280
Hata mimi sielewi kwa nini Tanganyika inapotezwa...
 
Msingida

Msingida

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Messages
4,472
Likes
1,455
Points
280
Msingida

Msingida

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2010
4,472 1,455 280
Kama ni serikali tatu,Tanganyika itajwe badala ya Tanzania Bara.Wazanzibar walikataa kuitwa Tanzania Visiwani,nakumbuka Mh.Pinda alibanwa na wabunge wa Zanzibar kuhusiana na hilo.Sioni sababu ya kurusisha jina hilo kwa sasa baada ya muundo wa Muungano kubadilishwa.
 
mukizahp2

mukizahp2

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2012
Messages
647
Likes
122
Points
60
mukizahp2

mukizahp2

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2012
647 122 60
nazani kila mtanganyika itakuwa inamuuma....ohh Tanzania bara.tunataka Tanganyika yetu
 
J

Jasusi

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2006
Messages
11,506
Likes
246
Points
160
J

Jasusi

JF-Expert Member
Joined May 5, 2006
11,506 246 160
Hivi tunabembelezana nini? Waache wazanzibari waondoke na hamsini zao na sisi tugange ya kwetu. Ebho!
 
A

A revolutionist

Member
Joined
Mar 1, 2012
Messages
61
Likes
0
Points
13
A

A revolutionist

Member
Joined Mar 1, 2012
61 0 13
Kamanda umenena vema ujue hata wazanzibar wameanza kutucheka siku nyingi kwani tunaonekana kujipendekeza (kuutaka)zaidi muungano kuliko wao, rai yangu vijana wa Tanganyika tusikubali kuua historia yetu kwa manufa ya vizazi vya leo na kesho!
 
D

donge

Senior Member
Joined
Apr 7, 2011
Messages
121
Likes
19
Points
35
D

donge

Senior Member
Joined Apr 7, 2011
121 19 35
Ndiyo maana inaitwa rasimu,hivyo una nafasi ya kutoa mapendekezo ya rasimu hiyo na haya uliyoyaona ni miongoni mwa mapendekezo ambayo unapaswa kuyapeleka tume ya marekebisho ya katiba. Nje ya muungano hakuna Tanzania bara bali kuna Tanganyika.
 
B

Bamba

Member
Joined
May 22, 2013
Messages
15
Likes
0
Points
0
B

Bamba

Member
Joined May 22, 2013
15 0 0
Cjajua ni kikwazo gani kinatufanya tuung'ang'anie muungano na watu wasioutaka wasije ingia msituni waudai kwa nguvu
 
mito

mito

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2011
Messages
8,926
Likes
3,935
Points
280
mito

mito

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2011
8,926 3,935 280
Kuna hofu juu ya Utanganyika wetu?
labda walihisi watakuwa wanamfagilia mtikila

hebu tushupalie hili jina libadilishwe wakuu! vinginevyo na zanzibar nayo isomeke tanzania visiwani ndo itakuwa imebalansi
 
Bobwe

Bobwe

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2013
Messages
1,241
Likes
10
Points
0
Age
39
Bobwe

Bobwe

JF-Expert Member
Joined May 21, 2013
1,241 10 0
labda walihisi watakuwa wanamfagilia mtikila

hebu tushupalie hili jina libadilishwe wakuu! vinginevyo na zanzibar nayo isomeke tanzania visiwani ndo itakuwa imebalansi
Jiulize kwani nyerere imemshinda za'br kuigeuza tanzania visiwani?
 
Safari_ni_Safari

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Messages
23,232
Likes
7,110
Points
280
Safari_ni_Safari

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2007
23,232 7,110 280
duh hii interpretation yako kiboko!
Haieleweki kwa nini jina la TANGANYIKA linaonewa aibu kutumika.......basi Zanzibar nayo iitwe Tanzania Visiwani (Hapo napo sijui Ukerewe, Ukara, Mafia , Bumbire etc kutaitwaje)
 

Forum statistics

Threads 1,275,231
Members 490,947
Posts 30,536,341