Deni la Taifa ina Maana Mh. Kikwete, alichukua nchi ikiwa iko hoi kiuchumi ?


J

jnuswe

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Messages
1,270
Likes
6
Points
135
J

jnuswe

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2010
1,270 6 135
Sasa HIVI tunambiwa deni ni zaidi ya Trillion 23, toka 7.5 mwaka 2008, inawezekanaje katika utawala wa Kiongozi mmoja tu deni likapanda haraka kiasi hicho

Mh. Kikwete yeye hiyo haimpi shida anaendelea kuruka na kutua Nchi moja badala ya nyingine hii kazi kweli kweli, alafu waziri wa kupewa fadhila anakuambia deni hili halina tatizo linahimilika

Deni linahimilika vipi wakati bajeti yetu ya serikali ni trillion 18 na huku tuna mzigo mkubwa wa deni, Haya hii ndo Tanzania Bwana !! mambo ni bora liende hakuna anaye jali hata wale wawakilishi wetu pale bungeni hawalioni ili kama jambo la dharula linalohitaji majibu ya kina

Deni lote hilo huku hakuna maendeleo yaliyofanyika tunayoweza kujivunia, hospitalini akina mama wajawazito wanajifungulia sakafuni, mashuleni watoto wanakaa chini, mikopo vyuo vikuu ni matatizo matupu kwa vijana wetu, ugumu wa maisha kwa watanzania umeongezeka badala ya kupungua

Wabunge wetu mnatuagusha hapo sian itikadi ya chama ni Wabunge wote hamna huruma na taifa hili kwa kushindwa kuiomba Serikali kutoa majibu ya kina kwa suala hili
 
K

Kidzude

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2011
Messages
4,387
Likes
1,054
Points
280
K

Kidzude

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2011
4,387 1,054 280
Wabongo shetani kawashika kwelikweli tukipata pesa ni kuwowa tukuwowa tu pale dodoma hatuangalii wanetu na vitukuu vitaishije ni laana imetuandama waamini ongezeni sara.
 

Forum statistics

Threads 1,274,226
Members 490,637
Posts 30,505,424