Serikali imetenga mil. 100 kwa mtu yeyote atakayefichua mtu aliyerusha bomu Arusha.


Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Messages
42,249
Likes
4,698
Points
280
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2011
42,249 4,698 280
Wanaukumbi.

Serikali imetenga kiasi cha sh milioni 100 kwa mtu yeyote atakayefichua mtu aliyerusha bomu kwenye mkutano wa kampeni Soweto Arusha.

Serikali imesema itatumia vyombo dola kuakikisha inawatia mikononi wale wote waliohusika na tukio hilo.

SOURCE: BUNGENI.
 
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
47,851
Likes
3,638
Points
280
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
47,851 3,638 280
Wameshindwa kuwatafuta waliowatesa kina Ulimboka, Kibanda, Kubenea.
Wameshindwa kuwatafuta wahusika wa bomu la kienyeji la Olasit (Victor Ambrose ni kiini macho).
Wameshindwa kumuweka ndani ya kizimba mlipuaji wa mwandishi na Mtanzania Davidi Mwangosi.
Je, hili mnategemea mtaliweza kwa hizo TSHs milioni 100??
La hasha hakika la hasha...achaneni kwanza na Siasa za Illuminati
 
K

kill

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2013
Messages
1,833
Likes
3
Points
0
K

kill

JF-Expert Member
Joined May 21, 2013
1,833 3 0
wenyewe ndo wahusika wakuu hapo kuna mchezo wanaanza kukifanya dr.ulimboka alimkamata huyu chizi wa kenya olasti wameunda tume mpaka leo hakuna majibu serikal dhaifu pongezi
 
Omutwale

Omutwale

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2008
Messages
1,432
Likes
97
Points
145
Omutwale

Omutwale

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2008
1,432 97 145
Kipande hiki cha Wilfred Lwakatare: Mrejesho kutoka mahabusu Segerea kinaujumbe unaomuhitaji kila Mtanzania kuusoma, kuutafakari kwa umakini na kuuelewa. Kama tunachokikosi maalumu, kilichosomeshwa kwa ghalama kubwa na kupewa vitendea kazi vya ghalama, iweje leo tena tunaanza kuomba waalifu ndiyo watajane kwa kuwawekea dau? Soma mwenyewe!

Niliwaambia ;wakati wao wako ndani ya land rover 109 kilomita arobaini nyuma yetu sisi tunaokimbizwa na kutuhumiwa kuhusu ugaidi na kupanga njama za kudhuru watu, wahusika halisi wa mambo hayo wako na Range Rover kilomita arobaini mbele yetu. Je,ni mwaka gani watawafikia na kuwaweka mbaroni hao jamaa?

Hivi, kikosi cha IGP Mwema ambacho tumeelezwa ni maalum na kina makachero waliobobea kushindwa kurejesha mrejesho wa maana hadi sasa kwa angalau hata tukio moja, hivi watanzania hatushtuki tu? JK haushtuki ?


Anyway,tuendelee kuwapa masurufu na kuwatengea mafungu tutaona! Sijui kama walinielewa au kumfikishia IGP Mwema huo ujumbe wangu. Na kwa kuwa asiyetaka kujua maana haambiwi maana basi tuendelee mambo ni kanyaga twende
!

Wauaji wa Mwandishi wa Habari -Mwangosi??????


Muuaji wa Padre Ambrose????Waliomwagia Shehe Tindikali????


Aliyerusha bomu kwenye uzinduzi wa Kanisa Arusha??????Na huyu naye badala Dola ishughulike kuwatia nguvuni waliomdhuru, chama kimeamua kumfanya mwanasesele na mtaji wa Kisiasa!


Waliomjeruhi Kibanda????


Waliomdhuru Kubenea miaka kadhaa iliyopita wamewahi kukamatwa???


Je waliomteka na kumtesa Dr. Ulimboka nao bado wanatafutwa????


Ritz kwa ufupi tuipende nchi yetu. Tuwe wakweli kwa nafsi zetu na wazalendo kwa nchi yetu. Adui HAYUPO nje ya mwenye mamlaka na anayetangaza dau la kumtafuta. Na kujikamamwenyewe hawezi!
 
Last edited by a moderator:
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Messages
42,249
Likes
4,698
Points
280
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2011
42,249 4,698 280
Last edited by a moderator:
Safari_ni_Safari

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Messages
23,232
Likes
7,104
Points
280
Safari_ni_Safari

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2007
23,232 7,104 280
Wanaukumbi.


  1. Serikali imetenga kiasi cha sh milioni 100 kwa mtu yeyote atakayefichua mtu aliyerusha bomu kwenye mkutano wa kampeni Soweto Arusha.
  2. Serikali imesema itatumia vyombo dola kuakikisha inawatia mikononi wale wote waliohusika na tukio hilo.

SOURCE: BUNGENI.
Sasa serikali inatumia nini kati ya hivyo viwili PESA na VYOMBO VYA DOLA? Since when has our government got itself in bounty business....I wonder :shock::shock::shock:
 
D

Deofm

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Messages
383
Likes
0
Points
33
D

Deofm

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2012
383 0 33
Wameshindwa kuwatafuta waliowatesa kina Ulimboka, Kibanda, Kubenea.
Wameshindwa kuwatafuta wahusika wa bomu la kienyeji la Olasit (Victor Ambrose ni kiini macho).
Wameshindwa kumuweka ndani ya kizimba mlipuaji wa mwandishi na Mtanzania Davidi Mwangosi.
Je, hili mnategemea mtaliweza kwa hizo TSHs milioni 100??
La hasha hakika la hasha...achaneni kwanza na Siasa za Illuminati
kuna waliomwua padre Mushi kule Zanzbar na waliomjeruhi Padre Mkenda. Pamoja na hayo Haiwezekani kuwa Ulimboka alitekwa na kuteswa na mtu mmoja tu, mimi naishauri serikali imwachie huru huyo chizi kwani wanatumia gharama nyingi kumlinda wakati hahusiki wala hajui lolote.
 
P

Pampuka

Senior Member
Joined
Jul 16, 2012
Messages
199
Likes
1
Points
0
P

Pampuka

Senior Member
Joined Jul 16, 2012
199 1 0
Serikali dhaifu hata ikiapa mara mia kuwa itawatia mikononi wahalifu kamwe haitaweza na wala hatuwezi kuamini hivyo kwa kuwa ya soweto hayakuwa ya kwanza. Yametokea mengi na watz mashaidi na waliapa hivyo lakini mpaka kesho hakuna waliomkamata hata mmoja. Serilkali hii inaweza kutengeneza video feki na kuunda tume kwa maslahi ya kisiasa lakini si kukamata wahalifu.
 
K

Kifarutz

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2012
Messages
1,743
Likes
69
Points
145
K

Kifarutz

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2012
1,743 69 145
Good motivation, sasa wale askari waliomukoa mlipuaji wajitokeze walambe hii bingo
 
N

Ngandema Bwila

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2010
Messages
999
Likes
6
Points
135
N

Ngandema Bwila

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2010
999 6 135
Katika hili kutasikia FBI kuhusishwa maana ni rahisi kubaini wahusika wakweli.
 
KakaJambazi

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Messages
16,229
Likes
4,624
Points
280
KakaJambazi

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2009
16,229 4,624 280
Isije ikawa hiyo hela tayari inafahamika nani ataichukua na mgawanyo tayari ushaeleweka.
 
T

tosaby

Member
Joined
Apr 20, 2013
Messages
62
Likes
0
Points
13
T

tosaby

Member
Joined Apr 20, 2013
62 0 13
mimi nafikiri hiyo hera apewe rpc wa arusha na huo ulinzi kama atakuwa jasiri kuwasinitch wanzake na amini anajua tumpe ujasiri na kumwembea kwa Mungu kwa maamuzi magumu atakayofanya la sivyo ni kutwanga maji kwenye kinu
 
kiwatengu

kiwatengu

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Messages
14,902
Likes
4,081
Points
280
kiwatengu

kiwatengu

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2012
14,902 4,081 280
Fedha yakutosha hiyo...duh hii ndiyo Nchi yetu bana...
 
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
39,247
Likes
20,363
Points
280
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2010
39,247 20,363 280
Wanaukumbi.

Serikali imetenga kiasi cha sh milioni 100 kwa mtu yeyote atakayefichua mtu aliyerusha bomu kwenye mkutano wa kampeni Soweto Arusha.

Serikali imesema itatumia vyombo dola kuakikisha inawatia mikononi wale wote waliohusika na tukio hilo.

SOURCE: BUNGENI.
Kinachonichekesha umeleta hii thread huku ukimjuwa fika muhusika wa mauwaji haya ni nani, si lazima kumpata aliyerusha bomu lakini cha umuhimu who is behind this?

Hiyo millioni 100 imeshaliwa tayari hapa Serikali ya majambazi inataka kuhalalisha wizi wao wapuuzi kabisa hawa.
 
Kasimba G

Kasimba G

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2011
Messages
2,887
Likes
1,022
Points
280
Kasimba G

Kasimba G

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2011
2,887 1,022 280
si IGP keshaunda kikosikazi wanacho kiamini? bwana.chagonja nadhani, hivi huyu si ndie aliye chunguza na kutoa report kuwa wafuasi wa CHADEMA ndio walimuuwa Mwangosi? Yaelekea ni mtaalamu kwelikweli na atakuja na majibu ya kupendeza kama kawaida yake. Hivi habari kuwa risasi zimeokotwa ni kweli?? sijaona hilo likiongelewa saana!
 
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Messages
36,078
Likes
392
Points
180
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2011
36,078 392 180
Wampe Mwigulu tu zote, wanahangaika kuuzunguka mbuyu?

Wanaukumbi.

Serikali imetenga kiasi cha sh milioni 100 kwa mtu yeyote atakayefichua mtu aliyerusha bomu kwenye mkutano wa kampeni Soweto Arusha.

Serikali imesema itatumia vyombo dola kuakikisha inawatia mikononi wale wote waliohusika na tukio hilo.

SOURCE: BUNGENI.
 
Abdillahjr

Abdillahjr

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Messages
694
Likes
4
Points
0
Abdillahjr

Abdillahjr

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2011
694 4 0
Huu ni uhuni na upumbavu kama ushenzi uliotokea kwa kina Kibanda,Mwangosi,ulimboka na wakina Rage Kyle Dodoma walifanya uharamia na hawakuguswa, waanze na Guu la Chemba!!!
 
Kurunzi

Kurunzi

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Messages
4,561
Likes
924
Points
280
Age
39
Kurunzi

Kurunzi

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2009
4,561 924 280
Very sad my God nusuru Tanzania yangu
 
mansakankanmusa

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Messages
4,193
Likes
662
Points
280
mansakankanmusa

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2010
4,193 662 280
hizo MIL 100 ZINGEPUNGUZA DENI LA WALIMU
 

Forum statistics

Threads 1,274,229
Members 490,639
Posts 30,505,592