Tusiogope muda si mrefu Mungu atakwenda kumuaibisha shetani


vaspanya

vaspanya

Member
Joined
Feb 3, 2012
Messages
71
Likes
0
Points
13
Age
34
vaspanya

vaspanya

Member
Joined Feb 3, 2012
71 0 13
Ndugu wana jamvi.

Napenda kuchukua fursa hii kuwapa pole wale wote ambao kwa namna moja ama nyingine waliguswa na tukio la mlipuko wa bomb pale soweto siku ya jumamosi. Mungu azilaze roho za marehemu kwa amani na tunawaombea majeruhi wote waweze kupona haraka ili waweze kuungana na familia zao.

Baada ya utangulizi huo hapo juu napenda nielekee kwenye topic moja kwa moja.

Kwa habari nilizonazo kutoka vyanzo vya ndani kabisa vya CDM ni kwamba, Siku ya tukio la bomb kulipuliwa pale soweto yafuatayo ni baadhi ya mambo ambayo makachero wa CDM walifanya:

Ushahidi wa baadi ya hayo mambo upo ikiwa ni pamoja na picha za kawaida na video zikionesha tukio lilivyokuwa. baada ya mlipuaji kuanza kukimbia na polisi kuanza kufyatua risasi na mabomu makachero au wapelelezi wa CDM walifuatilia kwa makini nyendo zote za huyo mlipuaji mpaka alivyoingia kwenye gari la polisi na jinsi polisi walivyomtorosha mpaka walivyoenda kumshusha kituoni.Pamoja na mambo yaliyoendelea baada ya hapo ikiwa ni pamoja na kumchukua Mwigulu Nchemba chini ya ulinzi mkali wa polisi na kwenda naye kumuhamisha hotel aliyofikia harakaharaka..

Kinachosubiriwa na CHADEMA kwa sasa ni kuona jinsi gani vyombo vya usalama vitakavyolichukulia hili suala then baada ya hapo wao wataweka kila kitu hadharani,ili watanzania wafahamu ni jinsi gani serikali ya CCM walivyo wauwaji.

Na kwa mujibu wa mtoa taarifa ni kwamba ndio maana Mh. Mbowe ana ujasiri wa kuongea chochote anachoongea kwani wana mkanda mzima wa lile tukio.

My take:

Mimi nasubiri kuona itakuwaje kwani CDM wametoa sio zaidi ya wiki wataweka kila kitu hadharani...

STAY TUNED.

MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
N

Ngandema Bwila

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2010
Messages
999
Likes
6
Points
135
N

Ngandema Bwila

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2010
999 6 135
Aibu huwapata watu wenye utu,
ukiona mtua amefikia hataua ya kuua watu anopaswa kuwaongoza jua huyo ni mnyama na mnyama siku zote hana aibu.
 
mhalisi

mhalisi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Messages
1,181
Likes
19
Points
0
mhalisi

mhalisi

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2011
1,181 19 0
swala la Mwigulu kuhama hoteli aliyokuwa amefikia uku akipewa ulinzi baada ya kutokea hili tukio halijaongelewa kwa kina!
wadau wenye taarifa ni vyema wakatujuza.
 

Forum statistics

Threads 1,273,525
Members 490,428
Posts 30,484,172