Viongozi wa dini wahoji sababu ya jeshi kupiga raia Mtwara


NAMKWAKWA

NAMKWAKWA

Member
Joined
May 16, 2013
Messages
43
Likes
1
Points
13
NAMKWAKWA

NAMKWAKWA

Member
Joined May 16, 2013
43 1 13
Kile kinachoonekana kuchoshwa na utawala mbovu wa chama cha mapinduzi,viongozi wa kidini mkoani mtwara wamehoji kwa nini jeshi la wananchi linapita mitaani na kupiga watu pasipo kosa lolote,alipoulizwa mkuu wa kambi ya Naliendele Mtwara aliwajibu viongozi hao kuwa hana taarifa ya matukio ya wanajeshi kupiga raia.

Ila matukio ya Raia kupigwa yameripotiwa katika manispaa ya Mtwara Mikindani na wilaya ya Newala.Vyanzo vya pembeni vinadai wanajeshi wamepewa order ya kupiga raia na Mkuu wa mkoa Bwana Simbakalia.
 
Simiyu Yetu

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Messages
18,936
Likes
1,608
Points
280
Simiyu Yetu

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2013
18,936 1,608 280
Kile kinachoonekana kuchoshwa na utawala mbovu wa chama cha mapinduzi,viongozi wa kidini mkoani mtwara wamehoji kwa nini jeshi la wananchi linapita mitaani na kupiga watu pasipo kosa lolote,alipoulizwa mkuu wa kambi ya Naliendele Mtwara aliwajibu viongozi hao kuwa hana taarifa ya matukio ya wanajeshi kupiga raia.Ila matukio ya Raia kupigwa yameripotiwa katika manispaa ya Mtwara Mikindani na wilaya ya Newala.Vyanzo vya pembeni vinadai wanajeshi wamepewa order ya kupiga raia na Mkuu wa mkoa Bwana Simbakalia.
Acha uongo wako jeshi halina uadui na watu na pia hao viongozi wa dini kwani wanaserikali yao siku hizi au wanasaidia serikali kuongoza nchi wambie wakae kanisani na misikitini ndiko mahala pao,na ukiona raia anapigwa atakuwa mkorofi na wewe ukiwemo.
 
M

Manyerere Jackton

Verified Member
Joined
Dec 11, 2012
Messages
2,403
Likes
807
Points
280
M

Manyerere Jackton

Verified Member
Joined Dec 11, 2012
2,403 807 280
wanajeshi ni balaa. kama wanapiga tu ni afadhali, maana wao wamefundishwa kuua, wakati polisi ni kujeruhi! wanaoomba Jeshi lishike nchi wajue huo muziki wake! tutalala saa tisa alasiri! 617896]Kile kinachoonekana
kuchoshwa na utawala mbovu wa chama cha mapinduzi,viongozi wa kidini
mkoani mtwara wamehoji kwa nini jeshi la wananchi linapita mitaani na
kupiga watu pasipo kosa lolote,alipoulizwa mkuu wa kambi ya Naliendele
Mtwara aliwajibu viongozi hao kuwa hana taarifa ya matukio ya wanajeshi
kupiga raia.Ila matukio ya Raia kupigwa yameripotiwa katika manispaa ya
Mtwara Mikindani na wilaya ya Newala
.Vyanzo vya pembeni vinadai
wanajeshi wamepewa order ya kupiga raia na Mkuu wa mkoa Bwana
Simbakalia.
[/QUOTE]
 
NAMKWAKWA

NAMKWAKWA

Member
Joined
May 16, 2013
Messages
43
Likes
1
Points
13
NAMKWAKWA

NAMKWAKWA

Member
Joined May 16, 2013
43 1 13
acha UCCM wewe kazi ya jeshi si kudeal na raia,waende wakalinde mipaka huko malawi
 
C

CHITEMBEJA

Member
Joined
Apr 18, 2011
Messages
50
Likes
2
Points
15
C

CHITEMBEJA

Member
Joined Apr 18, 2011
50 2 15
Mimi nipo Mtwara kwa miaka mingi hao viongozi wa dini walikuwa wapi wakati amani ilipokuwa inaharibika kwa kwa uchochezi wa makambi mawili ya siasa mbona hawakulani walitaka wananchi tukose amani mpaka lini?

Hao viongozi wa dini wa dini gani siyo wale waliyokuwa wamebadilisha kauli mbiu ya Mtwara kwanza na kuja nayo yao ya GESI KWANZA UHAI BAADAE?

Maana ya kauli hiyo ilikuwa nini waliyoitoa katika mkutano wao mkubwa waliyoufanya katika uwanja wa Mashujaa Januari 20 mwaka huu mvua ikinyesha na hawakutoka kuanzia saa 8 hadi saa 12 jioni leo wanahoji kupigwa kabla ya kuuwawa ambako walikutaka?

Hao ni viongozi gani wa dini wasiyojua kuwa baada ya polisi kushindwa kutokana na kupigwa na rai na kuchomewa nyumba zao moto wakarudi kambini ilibidi jeshi lije kukabiliana na makundi hayo yaliyokuwa yalikuwa yanatawala Mtwara badala ya serikali kwa kutoa amri zilizokuwa kero kwa wananchi kama.

Kufunga maduka na kusimamisha huduma za kijamii kama usafiri wa umma
Kuwatisha watu wanaokaidi amari zao kwa kuwapiga na kuwachomea nyumba moto.
kufunga barabara na kuchoma matairi moto.
Kuwapiga polisi na kuchoma nyumba zao moto.
Kuchoma moto majengo ya Mahakama na nyumba za mahakimu ili kusiwe na utawala wa shseria katika mkoa?
Kupora mali za watu kabla ya kuchoma moto nyumba za wananchi.
Viongozi wa dini hao waliyowahoji wananjeshi walikuwepo hivi kwa dini yao siyo kosa na hawakulaani wala kuhubiri amani katika nyumba zao za ibada walichekelea tu.
Leo jeshi linadhibiti amani wanahoji! waache unafiki hao ni viongozi wa dini ya Murji na CUF.
Wananchi wanapigwa kwa sababu wanawahifadhi makundi ya vijana waliyokuwa wamepandisha bendera katika mkoa huu na kufanya wanalotaka kama hakuna serikali.
Msiyumbishwe na viongozi wa dini wa Murji na CUF.
 
M

Mtabe

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Messages
675
Likes
6
Points
0
M

Mtabe

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2010
675 6 0
Kile kinachoonekana kuchoshwa na utawala mbovu wa chama cha mapinduzi,viongozi wa kidini mkoani mtwara wamehoji kwa nini jeshi la wananchi linapita mitaani na kupiga watu pasipo kosa lolote,alipoulizwa mkuu wa kambi ya Naliendele Mtwara aliwajibu viongozi hao kuwa hana taarifa ya matukio ya wanajeshi kupiga raia.

Ila matukio ya Raia kupigwa yameripotiwa katika manispaa ya Mtwara Mikindani na wilaya ya Newala.Vyanzo vya pembeni vinadai wanajeshi wamepewa order ya kupiga raia na Mkuu wa mkoa Bwana Simbakalia.
mkuu lkn c mumeichagua wenyewe ccm tena kwa kura nyingi? Sasa munamlalamikia nani?
 
A

AHMEDNEJAD

Member
Joined
Jun 16, 2013
Messages
9
Likes
0
Points
0
A

AHMEDNEJAD

Member
Joined Jun 16, 2013
9 0 0
Usiwatafutie wa2 ban maana tutakunyea sasa hv.Kilichoongelewa hapo ndiyo hali halisi iliyoko Mtwara.CC tuko huku tunaona kila kitu.
 
M

Mtabe

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Messages
675
Likes
6
Points
0
M

Mtabe

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2010
675 6 0
Usiwatafutie wa2 ban maana tutakunyea sasa hv.Kilichoongelewa hapo ndiyo hali halisi iliyoko Mtwara.CC tuko huku tunaona kila kitu.
kwani wafikiri mm nipo wapi? Kwani nimeongea uongo? Nitajie basi alau jimbo 1 tu mtwara lililoko upinzani.

Usije kunitukana bure lete hoja nilete hoja tujadili.
 

Forum statistics

Threads 1,272,951
Members 490,211
Posts 30,465,560