Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu wana JF; Nimechukua muda mrefu kutathmini kauli mbalimbali za viongozi haswa wa CCM kutokana na mlipuko wa bomu katika uwanja wa Soweto-Arusha ambacho...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni usitarabu mchafu uliojengeka katika nchi za kiafrica katika kubadilishana madaraka lazima watu wamwage damu. angalia kenya 2007 angalia ivory cost angalia Zimbabwe n.k Nionavyo mimi ifike...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina Mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina, amesema hataiunga mkono bajeti ya serikali ya 2013/2014 kwa sababu haina jipya ikiwamo kukosekana kwa vyanzo vipya...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
mshahara wa mtumishi wa serikali 400,000.00 kodi (paye deduction) 30,000 nssf/ppf/ etc 10% 40,000 jumla ya makato...
0 Reactions
0 Replies
893 Views
The CCM government is in ICU with an ORTHO-LEAD, should we surely keep on trusting it?
0 Reactions
0 Replies
694 Views
Kamati ya Bunge kuhusu maswala ya bajeti ya serikali, imekataa pendekezo la SERIKALI KUMNUNULIA rais Mstaafu Mwai Kibaki ofisi itakayogharimi dola milioni 8 HIVI MARAIS WASTAAFU WANAHITAJI...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tufuate mfumo wa kiutawala ambao serikali na sheria havitakiwi (ANARCHISM) ili kuukomesha utawala huu wa ajabu duniani.
1 Reactions
2 Replies
911 Views
Kama ni uvumilivu, kweli watanzania tumekuwawavumilivu sana. Serikali yetu imekuwa haiwajali wananchi wake na sasa watanzania tufumbuke macho tuweze kuona mbali tulikotoka, tujitazame tuipo na...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ndugu wana jamii napenda kuwasalimu na kuachia hoja yangu kama inavyojieleza yenyewe. Mimi ni Mtanzania ambaye sina itikadi ya kichama and nimekuwa nikipiga kura katika mfumo wa vyama vingi...
0 Reactions
1 Replies
841 Views
nimepitia baadhi ya vyombo vya habari vikimnukkuu NAPE NNAUYE akiwatuhumu CHADEMA kuhusika na kulipuliwa kwa bomu na kusema anao ushahidi vilevile jana MH MBOWE akihojiwa ITV alisema polisi...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kama alivyonukuliwa na gazeti la leo la mwananchi ni kuwa chama chake kina ushahidi wa kutosha wa watu waliohusika na tukio la kurushwa bomu...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Freemani Mbowe amesema amesikitishwa na kitendo cha spika Anne Makinda kushindwa hata kumpigia simu kwa janga lililowakuta. Ameendelea kusema amestushwa na Spika kuendelea na vikao vya bunge...
0 Reactions
90 Replies
8K Views
Watanzania wakiwa bado kwenye majonzi ya Ally Ayubu aliepigwa risasi bar, leo katibu wa uchumi wa ccm wilaya ya Arusha ndg Victor Mollel amemkosakosa kumtwaa risasi katibu wa Chadema kata ya...
3 Reactions
130 Replies
11K Views
Viongozi hawa wamekuwa wakitoa kauli mbalimbali zenye utata kiasi ambacho kinatuchanganya sisi watanzania. Kauli yeyote ikisemwa lazima jambo litokee,ccm kulikoni? Membe alisema,ana maadui 11...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
nashangaa watu wapenzi wa CCM kuitetea chama chao kwa propaganda hata katika mambo mazito kama ya kuuwa binadamu!! hivi ndugu yako akiuwawa katika mazingira ya Mwangosi ,Bomu la Arusha la 15th na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mheshimwia Spika, Kambi ya Upinzani Bungeni inapendekeza kushusha PAYE kutoka asilimia 14 ya sasa mpaka asilimia 9 na kiwango cha chini cha kutoza PAYE kiwe ni Sh 250,000 kwa mwezi. Hii itawezesha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kile ambacho kilitokea pale kanisani na kile ambacho kimetokea pale kwenye mkutano wa siasa juzi jumamosi ya tarehe 15 limeidhihirishia dunia kwamba TANZANIA sio ile ya NYERERE iliyo kuwa na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Inatia uchungu sana kuona na kusikia yanayotokea Tanzania, kwa maana ya mauaji ambayo yanafanyika wakati vyombo vya kulinda usalama wa wananchi vikibaki kujiumauma tu. Ebu tukumbushane vifo...
0 Reactions
0 Replies
971 Views
Wkt anaelezea tukio la Kibanda kuumizwa, Wassira alisema: "Kibanda ni nani hata serikali imteke? Ingekuwa Mbowe au Dr Slaa, ningeelewa" Leo asbh kwenye jambo Tanzania, akijibu madai ya Mbowe...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wiki iliyopoita Hosea alionekana alikiri hadharani kwamba ameshindwa kushugulikia vita dhidi ya rushwa ya vigogo kwa sababu amebanwa mikono na serikali kupitia DPP kwamba anakwamisha kesi zao...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom