Mambo mengi yanasemwa kupitia post mbali mbali juu ya Paul Kagame (mmoja kati ya Pan Africanists wachache waliosalia). Watanzania na wafrika kwa ujumla tunayo hiyo syndrome ya kuaminishwa mambo juu ya viongozi wetu nasi kuyabeba vivyo hivyo kwa pupa. Mara nyingi viongozi hawa tuaminishwao kuwa ni wabaya, ni wale wasio wachekea wazungu a.k.a mabepari e.g. Mugabe, Comrade Gadaffi, now Kagame. Why not Kikwete, Banda, Muluzi, n.K.s (vibaraka)? Kama hamuamini, mwingine kwenye list yao ni Uhuru Kenyatta. Soon, propaganda dhidi yake zitaanza. Mwenyewe anasema hivi...
Last edited by a moderator: