Nchemba, kila auwae kwa upanga atauawa kwa upanga


Majuto Ngozi

Majuto Ngozi

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2013
Messages
211
Likes
0
Points
33
Age
44
Majuto Ngozi

Majuto Ngozi

JF-Expert Member
Joined Jun 18, 2013
211 0 33
Inawezekana hivi ninavyoandika ujumbe huu upo sehemu ukitathimini mafanikio ya mipsngo yako ulioplan huko Arusha, bila shaka unafurahi kwa kuona umefanikiwa kile ulichopanga japo uliowalenga hukufanikiwa kuwapata na kuwa wasio hatia, naamini haupo peke yako bali kuna walio nyuma yako, inawezekana huna dini lakini najua umesoma kitabu kitakatifu cha torati kuwa auwae kwa upanga atauawa kwa upanga, pingu na nchi itapita ila neno hili halitapita kamwe, nami naongezea livumalo halidumu.
 
P

PERFECT

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2011
Messages
361
Likes
2
Points
0
P

PERFECT

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2011
361 2 0
Hajafanikiwa lolote, anaizika serikaya yake ya maccm, anaangalia hapaa, siyo kule chuki anayoipandikiza kwa watoto wajao ni zaid ya hii! Atajuta!
 
K

Kizotaka

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2012
Messages
567
Likes
0
Points
0
K

Kizotaka

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2012
567 0 0
Huwa najiuliza kwanini walimtumia mwigulu kwenye kampeni Arusha? kwa mvuto na umaarufu upi alionao Arusha? kwanini hawakutafuta kijana au mtu mzima mwenye asili ya Arusha huenda angekuwa na mvuto kuliko mwigulu na genge lake? Sasa ndo napata jibu,mwigulu alikuwa kwenye mission,ndo mana akavaa kofia yakimafia,mindevu akaachia eti yuko busy na kampeni! wapi! kuratibu na kupanga na mipango ya mauaji mchezo! Atarukwa akili muda si mrefu, anadhani yuko sehemu salama.Tumpe muda tu. Ndo mana Mh. Lowasa akabaki Makuyuni kininja nadhani alijua chezo,mwigulu amuangalie vizuri EL, yupo! mwigulu amevuruga kwakina huyu,kuwa nae chama kimoja haitoshi,tumpeni muda mwigulu atajuta.
 

Forum statistics

Threads 1,272,942
Members 490,211
Posts 30,465,304