Siasa chafu na za kutupiana lawama zinaipoteza tunu ya amani nchini.


V

Viscom

Senior Member
Joined
May 23, 2013
Messages
155
Likes
0
Points
0
V

Viscom

Senior Member
Joined May 23, 2013
155 0 0
Leo huwezi ukamuambia Mtanzania Tanzania ina amanin ikiwa watu wanauawa kikatili wengine kuteswa na majibu ni yale yale ya kikasuku CCM wanahusika na kiitikio chake ni CDM wanahusika,jioni hii inasemekana bado pamoja na polis kuwazuia raia kuwaaga marehemu katika uwanja wa Soweto bado waakuhitaji uwepo walipokuwa nje ya uwanja huo polisi hawakutaka wakae katika vikundi na inasemekana Mbunge wa Arusha alipokuwa akijadiliana na wananchi almanusura apigwe kwa bomu jambo lililomfanya kukimbilia kwa wachoma kitimoto ili kujificha.i
Hali hii ina msukumo wa siasa chafu na wimbo mbaya wa kutupiana lawama kila litokeapo tukio baya badala ya kutafuta utatuzi wa kudumu.
Tanzania ni nchi kamili yenye serikali yake na vyombo vya usalama ni kwa nini wanasiasa wanaachiwa kuingilia na kuvuruga usalama wa Taifa hili?ni kwa nini sasa za chuki ambazo hata Mheshimiwa Rais alishazisemea na kutoa angalizo bado zinaendelea?vyama vya siasa vitalaumiana mpaka lini wakati wananchi wanteketea?..
HUO WIMBO WA KUTUPIANA LAWAMA SIO MZURI RAIS KUWA MKALI JUU YA HILI.
 
L

Lilambo

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2013
Messages
2,524
Likes
6
Points
135
L

Lilambo

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2013
2,524 6 135
.Chadema mna ajenda ya siri. Kumbukeni watanzania si mbumbumbu badala ya kusonga mbele mtarud nyuma. Keep in your mind, Asilimia kubwa ya watz hawajui vita mkichokoza watawadis mpk mtashangaa.
 

Forum statistics

Threads 1,274,218
Members 490,631
Posts 30,505,044