Mfamaji
JF-Expert Member
- Nov 6, 2007
- 6,629
- 1,951
Ndugu wanajamvi. Nawasalimu wote itifaki ikizingatiwa.
Sote tunafahamu kwamba upinzani mkubwa katika uchaguzi wa madiwani ulikuwa kati ya CCM na CHADEMA.
Takwimu zinaonyesha CHADEMA walikuwa wanafanya vizuri zaidi maana Arusha inafahamika kuwa ni ngome ya CHADEMA.
Sote tuliona na kushuhudia makamu wa Katibu Mkuu wa CCM mwingulu nchemba akiwa Arusha na magwanda ya kijeshi ya China.
Sote tulishihudia na kuona kikundi cha kijeshi cha Mwingulu ndani ya CCM huko Mbeya.
sote tunafahamu harakati zake za video za kutunga za kigaidi dhidi ya CHADEMA,
Sote tunajua kupitia Nchemba mwenyewe kwamba alikuwa China kwa siku kadhaa baada ya Tume ya Uchaguzi kutangaza chaguzi hizi.
Sote tunajua na tumemsikia na video yake iko humu JF na U tube akiwaambiwa wananchi wa Arusha kwamba wakihidhuria mikutano ya CHADEMA watakufa.
Sote tumeambiwa hadi na Waziri Mkuu Pinda kuwa mabomu hayo yalikuwa ya mwaka huu toka China.
Hivi wakuu huo upelelezi wa polisi ndio upi tena wakati kila lead iko wazi hata kwa wasiokuwa wapelelezi?
Hivi mpinzani wako akikuambia utakufa na baada ya masaa machache ukauawa kweli, Je huyo mpinzani wako hawajibiki kama mtuhumiwa namba moja?
Je si yeye aliyeingiza mabomu na risasi za kichina na kuwatumia FFU kupiga hayo mabomu, na kujaribu kupiga tank la petroli la gari la matanagazo ya CHADEMA lilikuwa karibu sana na jukwaa kuu ili lilipuke na kuangamiza maelfu ya watu waliokuwepo sambmba kabisa na mlipuko wa bomu?
Leo nimemwona Mwingulu bungeni nikasikitika sana. Viongozi wa Jeshi la Polisi fahamuni hamkuwekwa hapo kuangamiza
wananchi na kuwakingia kifua wauaji kama huyu. Msipomkamata huyu hao wengine wote watakuwa feki kama yule Ambrosi mnaemshilikia bila kosa.
View attachment 98397