Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

MAPENDEKEZO YA BAJETI 2013/14 YA KAMBI YAUPINZANI i. Sheria ya Kodi ya Mapato, SURA 332. Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni inapendekeza kiwango cha chini cha kutoza kodi ya mapato ya ajira kwa...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Mbowe: Mabomu yamerushwa na Polisi kwa maagizo ya Serikali Amesema hivyo na ushahidi wa video upo, silaha 3 zilihusika. Source: ITV Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema polisi wanahusika...
10 Reactions
348 Replies
27K Views
HII NDIYO KAULI YA RAIS JAKAYA KIKWETE KUHUSU SHAMBULIO LA MLIPUKO WA BOMU KWENYE MKUTANO WA CHADEMA ARUSHA - Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amepokea...
2 Reactions
66 Replies
7K Views
Samahani wanabodi kwa kuwarudisha nyuma angalia unyama huu kikwete na serikali yake wameanza zamani Huu unyama ibadi ukomeshwe Machafuko ya Arusha part I - YouTube
0 Reactions
1 Replies
3K Views
CRY O' A BELOVED NATION There is blood on the land! Dripping and drenching the sand! Rivers of blood, in our neighborhoods Gushing and crushing, Rushing and brushing! Streaming pain...
6 Reactions
7 Replies
1K Views
Ni baada ya kuomba mwongozo wa mwenyekiti juu ya wachangiaji wa hotuba ya bajeti kutotaja vyanzo vya mapato vya serikali zaidi ya kutoan hoja za kuifanya bajeti ikose fedha, ni wazi wabunge...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Polisi wamemuua kwa kumpiga risasi kijana Rajabu Hamisi Mwashitete njia panda ya iyula, baada ya polisi kutaka kuwanyang'anya mafuta Rajabu na mwenzake ambaye hatujafanikiwa kupata jina lake.
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Habari za jioni wana J. Tumepokea yote yaliyowasibu ndugu zetu wa Arusha kwa masikitiko makubwa sana, pia mwanzoni hatukuweza kuamini kuwa Tz imefikia kuwa nchi za Watu wanaoua wenzao kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA taifa mhe Freeman mbowe amesema tamko la serikali ni la kipuuzi. Mbowe amesema hayo alipokuwa akihojiwa na dira ya Dunia ya BBC huku akilidharau na kuona kana kwamba ni...
8 Reactions
87 Replies
7K Views
Arusha. Wabunge wanne wa Chadema, Said Arfi (Mpanda Mjini), Tundu Lissu (Singida Mashariki), Mustapha Akunaay (Mbulu) na Joyce Mukya (Viti Maalumu) wamekamatwa wakituhumiwa kuhusika na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Imekuwa ni nadra sana kwa Wabunge wa Vyama vya Upinzani kuunga mkono hoja ya Waziri husika mara anapowasilisha hoja ya Bajeti kuhusiana na Wizara yake lakini leo Mkutano wa 11 wa Bunge la Bajeti...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Kwa muundo wa katiba mpya ijayo serikali yoyote legelege either iwe ya chadema au ccm au chama chochote hatuwezi kuivumilia kama ccm walivyoprove big failure lakini bado wapo madakani ila baada ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MCHAKATO wa kuhamisha Kituo cha Mabasi yaendayo mikoani na nje ya nchi (UBT), kwenda Mbezi Luis unatarajiwa kuanza Januari 15 mwaka ujao. Akizungumzana wandishi wa habari jijini Dar es...
2 Reactions
104 Replies
17K Views
Kumekuwepo na matukio mengi ya mauaji ya raia wasio na hatia. Mauaji Arusha yametokea mara 3 sasa ukijumuisha na yale ya Kanisani, kisha Igunga, Mwanza, Morogoro, Iringa na Singida. Lakini hakuna...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndugu wanaJF, Katika hali ya kusikitisha na kushangaza, wimbi la viongozi, wanachama, wafuasi na mashabiki wa Chadema kushambuliwa na wanaccm linazidi kushika kasi. Usiku wa kuamkia leo...
3 Reactions
36 Replies
4K Views
Kwa namna ccm ilivyotoa kipigo katika viti vya udiwani katika uchaguzi mdogo uliopita ni dalili kuwa cdm inabidi wajipange zaidi
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Ngugu wa JF,hongereni na majukumu yenu ya leo.Mimi binafsi na kwa mtazamo wangu naona hakuna umuhimu wa kuwa na vyama vya kisiasa hasa katika nchi zinazoendelea ikiwemon Tanzania kwani lengo la...
0 Reactions
0 Replies
885 Views
Wassira challenges Mbowe to name Saturday's rally bombers By Aloyce Mpandana...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Bomu Arusha Mkutano ChademA 15 JUNE: Bomu Arusha Mkutano ChademA 15 JUNE - YouTube via YouTube hii link inaonyesha hali ilivyokuwa kabla na baada ya tukio halisi
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jana kwenye taarifa ya habari usiku saa 2.00, Msajili wa Vyama John Tendwa alisema kuna sheria inayoweza kusababisha chama cha siasa kufutwa ikiwa itathibitika kwamba kimeshiriki katika kuchochea...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom