Baada ya Mauaji Arusha. Hatusikii Wabunge wa CCM wala Spika Makinda. Hawajali Vifo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya Mauaji Arusha. Hatusikii Wabunge wa CCM wala Spika Makinda. Hawajali Vifo?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by niweze, Jan 12, 2011.

 1. n

  niweze JF-Expert Member

  #1
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Uongozi Maana Yake ni Nini Jamani Wananchi? Mauaji ya Arusha Yametikisa Taifa Letu. Watu Watatu Mpaka Leo Wamekufa kwa Kupigwa Risasi Migongoni na Wengine Bado Wanateseka Hospitalini Arusha. Kitu cha Kushangaza CCM Wabunge 357 na Spika Wao Makinda Midomo Imepigwa Gundi. Huu Ndio Uongozi? Haiwezekani Kiongozi wa Bunge Tanzania Hajasikia Lolote Lilotokea na Kutaka Hatua Kali Zichukuliwe Juu ya Wabunge Waliopigwa na Kuwekwa Ndani. Wananchi wa Tanzania Sijui Kama Tunge Kaa Kimya Kama Chadema Wangekuwa Madarakani na Kuruhusu Kupigwa kwa Wabunge wa CCM Namna Hii. Bunge ni Chombo Kikubwa Sana Tanzania, Hasa Kiongozi wa Bunge Spika. Kwanini Wabunge wa CCM Siku Zote Hawana Opinions au Uoga kwa JK? Demokrasia Gani Ndani ya CCM Inafanya Hakuna Uhuru wa Kuongea Hata Kama Makosa Makubwa Yanatokea Ndani ya Chama Chenu? Wananchi Tusaidie Kusukuma Jitahada za Katiba na Mabadiliko ya Taifa Kwani Hata CCM Watanufaika na Mabadiliko Haya...

  "Leo Hii CCM Inawanachama Wangapi? Wanasisiem Kweli Wapo Brain Wash Sijapata Kuona. Maandamano Ndio Yanaanza, CCM Mtaweza Kuzuia Mikoa Yote?"

  AHADI ZA WANACHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI
  (1) Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja = uongo
  (2) Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote = Uongo
  (3) Nitajitolera nafsi yangu kuondosha umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma. = uongo
  (4) Rushwa ni adui wa haki, sitapokea wala kutoa rushwa = uongo
  (5) Cheo ni dhamana, sitatumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu. = uongo
  (6) Nitajielimisha kwa kadri ya uwezo wangu na kuitumia elimu yangu kwa faida ya wote. = uongo
  (7) Nitashjirikiana na wenzangu wote kujenga nchi yetu. = uongo
  (8) Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko. = uongo
  (9) Nitakuwa mwanachama mwaminifu wa CCM na raia mwema wa Tanzania na Afrika. = uongo
   
 2. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,859
  Likes Received: 11,978
  Trophy Points: 280
  Ndugu yangu hao ndio viongozi wetu kwao waliokufa si watanzania ni wanaChadema kwa hiyo hawawahusu.
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,322
  Likes Received: 19,495
  Trophy Points: 280
  niweze nimwependa post yako and be blessed.haya yote yana mwisho.
   
 4. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #4
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Tafadhali ndugu yangu! Hizo ahadi za mwana TANU/CCM jamaa hawataki kuzisikia kabisaa na very soon watatafuta mbinu za kuzi-ommit kwenye kanuni zao! Sijawahi kumsikia makamba akizinukuu hizi! why?
   
 5. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #5
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Guys, you know that ccm will yell about the evils of partisanship whenever anyone tries to make a connection between the rhetoric of makamba, marry chatanda , etc. and the violence, I fear we're going to see in the months and years ahead. But violent acts are what happen when you create a climate of hate and totalirianism. And it's long past time for the Government of URT's rulers to take a stand against the hate-mongers, which i suspect they can do!
   
 6. B

  Bomee New Member

  #6
  Jun 19, 2013
  Joined: Jun 19, 2013
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Daah kweli wanatupeleka kubaya!Hivi kweli hawa ni wa Tanzania?Mi nadhani wanatoka taifa liitwalo madaraka,kwao ni uongozi tu!Mbunge mmoja akifariki,wanapeana posho na kuondoka kwenda kuhani.lakini janga kama hilo wako tuli
   
 7. BJEVI

  BJEVI JF-Expert Member

  #7
  Jun 19, 2013
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 1,360
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ulaaniwe ccm...
   
 8. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #8
  Jun 19, 2013
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,651
  Likes Received: 21,866
  Trophy Points: 280
  Mlipuko wa Kanisani walikuwa wanafiki eti spika na timu ya wabunge walienda kuangalia maana ni tukio la kusikitisha sana na wote wamefadhaishwa sana.
  Ila bomu kwenye mkutano wa Chadema hawafadhaishwi maana labda walitegemea idadi iwe kubwa sana na Mbowe na Lema wawe miongoni mwa marehemu au majeruhi ndio wangebana pua na kutoa kauli.
  Siamini katika uchawi, ila tabia za spika na wabunge kadhaa wa CCM zinanifanya nianze kufikiri hawa ni wachawi!
   
Loading...