Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hakuna kitu kinachothaminiwa katika jambo lolote kama uzoefu. Uzoefu ni muhimu katika kazi, katika kutenda mambo kwenye kila jambo uzoefu husaidia kufanya mambo kwa umakini zaidi na kufikia...
0 Reactions
1 Replies
952 Views
Nilitegemea hawa viongozi wastaafu wangeingilia kati na kuzima uchafu (mauaji) unaofanywa na CCM chini ya Kikwete, lakini kwa bahati mbaya wamekuwa kimya. Rais Mkapa, Mwinyi, Sumaye, Warioba...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Jumanne, nilisikiliza kikao cha Bunge kupitia TB1 jioni na nilisikitika kusikia mbunge mmojawapo wa CCM kusema "anaona fahari kwamba Tanzania bado inakopesheka". Alidai hakuna nchi duniani...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
HOTUBA YA WAZIRI MKUU MSTAAFU MHESHIMIWA EDWARDLOWASSA, MB. KATIKA SIKU YA SACCOS YA WALIMU MOSHI VIJIJINI (MOSHI USHIRIKA STADIUM) TAREHE 14 JUNI 2013 Mwenyekiti wa SACCOS ya Walimu Moshi...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Polisi wamewaachia viongozi wa chadema na watu wote waliokamatwa wameachiwa huru kwa dhamana source itv
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wana CDM wote: Ili kuweza fanya mikutano ya CDM kuwa salama na kupeleka ujumbe wa amani..Nigeshauri sana watoto na wanawake wawepokadiri wawezavyo.Kwani hadi sasa ndio mashujaa wakuu .Tunajua...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
MNYIKA HAELEZA SABABU ZA NASSARI KUAMISHWA NA KUWATAJA WANAUSALAMA WALIO KUWA WANATISHIA MAISHA YAKE - YouTube WAKATI Jeshi la Polisi Mkoani Arusha ikiendelea kumsaka Mwenyekiti wa Chadema...
3 Reactions
35 Replies
4K Views
Tafadhari wana JF nijuzenu kwa mwenye habari za undani kuhusiana na Mheshimiwa Shibuda na uwepo wake. Ukimya wake unatia wasiwasi na sijui kwasasa yuko mlengo gani ingawa inajulikana ni mwana...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana-JF!! Mnamkumbuka mhariri ABSALOM KIBANDA? AMBAE ALITEKWA NA KUTESWA?, amesema yafuatayo kuhusu wahusika ambao walimfanyia vitendo hivyo vya kinyama ambavyo vimempa ulemavu wa kudumu wa jicho...
0 Reactions
236 Replies
17K Views
Mimi binafsi nilikuwepo eneo la tukio na nilikua takriban mt 8 na lilipotua Bomu baada ya kurushwa. Ilikua ni mida ya saa 11:50. Mwenyekiti Mbowe alishuka kwenda kukusanya pesa(SADAKA) kwa ajili...
36 Reactions
121 Replies
12K Views
chagonja wamedai kuwashikilia watu watatu kuhusiana na tuhuma za bomu la soweto. ila kuna mdau naye alisema humu jamvini kuwa polisi wanawatesa watu watatu watoe video inayonesha polisi kuwaua...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Katika kipindi cha maswali na majibu leo asubuhi lilikuwepo swali la MBunge Mariam Msabaha wa CHADEMA aliyetaka kujua hatma ya mgogoro wa wanajeshi na wananchi huko Znz kuhusu ardhi, likafuatia la...
5 Reactions
81 Replies
9K Views
labda nijitambulishe kwa mara ya pili mkuu rombo aiseeee babayangu sisi watu wa mkuu rombo tumekaa chini na kutafakari kwa kina sana kuhusu hiki kitu chenye ncha kali na kitu chenye kishindo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimekuwa nafuatilia vikao vya bunge mara nyingi lakini sijamsikia Lowasa akichangia lolote kwa jimbo lake au Taifa, ni nini anachofanya bungeni? au anasubiri posho ziingie!
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Our expected guest, Barack Obama gave a speech in Berlin today in which he praised the German citizens for tearing down the Berlin Wall. "No wall will define the value of freedom or the...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Leo Asubuhi Wabunge wa NCCR Mageuzi kutoka Mkoa wa Kigoma watasema neno fupi bungeni kuhusiana na udhalimu unaofanywa na baadhi ya viongozi wa ccm na Police juu ya wananchi na kisha watatoa tamko...
17 Reactions
150 Replies
14K Views
JAMANI makao makuu CHADEMA kwa kushirikiana na Makamanda wa CHADEMA mkoa wa ARUSHA tunaombeni NAMBA maalumu za kutuma MICHANGO yetu kwa ajili ya WAHANGA na MAJERUHI kwa sisi Tulio Mbali.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu. Mtakumbuka kuwa jana wabunge wa chadema pamoja na waombolezaji wengine zaidi ya 70 walikamatwa na jeshi la Polisi kwa kile kilichoitwa kukusanyika bila kibali walipo kuwa uwanja wa...
12 Reactions
391 Replies
27K Views
Kuna taarifa zimeanza kuvuja kwamba hizi move tunazoanza kuziona sasa ni ufadhili uliopangwa kwa muda mrefu na taifa moja la nje kwa ahadi ya kupewa kipaumbele kwenye uwekezaji endapo chama husika...
1 Reactions
87 Replies
7K Views
Back
Top Bottom