Polisi na wabunge wa chadema kulikoni?

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Jun 4, 2013
2,602
408
Kazi ya polis kwa sasa ni kukamata,kupiga na kutesa wabunge wa chadema.Najiuliza mbona hawawakamati wauza madawa ya kulevya,mafisadi,wahujumu uchumi,wauaji nk?.
Ukweli uko hivi,mtenda jambo hawezi kujikamata mwenyewe,kujitesa na kujiua mwenyewe na huwezi kujihukumu mwenyewe.
 
Back
Top Bottom