Je nikweli kuwa hakuna wakuiwajibisha serikali?

Je nikweli kuwa hakuna wakuiwajibisha serikali?

MPIKUSASA

Senior Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
112
Reaction score
7
Kwa matukio yaliyojirudia mara mbili, tena kwa kiasi kikubwa yakionesha serikali kuhusika kwa nama moja kuua wanchi wasio na hatia yeyote, je hili halitoshi kufanya serikali kuajibika? Katika serikali yenye kuwajibika inapofika matukio ya kuuliwa kwa raia wake yanapokuwa yamekithiri na tena matukio yakihusisha vyombo vya ulinzi basi serikali hiyo inapaswa kujihuzuru.
 
Back
Top Bottom