Ndugu wassira aliposema kuwa CHADEMA LAZIMA IFE ALIKUWA NA DHAMIRA IPI?

N

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2013
Messages
2,602
Likes
10
Points
0
N

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2013
2,602 10 0
Kusema kuwa mtu/kitu kife hiyo sio dhamira njema.Ndg wassira alisema mwaka 2013 CHADEMA lazima ife alikuwa na dhamira gani? Katika hali ya kawaida huwezi kuua chama kama hujaua watu,kwani chama hakiundwi na miti bali ni watu. Kutokana na kauli yake hii, ni dhahiri kuwa kauli ya WASSIRA iko katika utekelezaji, kwa kutumia ufahamu mdogo tu ambao haumhitaji mtu kuwa na PhD huwezi kuua chama kama haujaua viongozi, wanachama na washabiki wa chama, chama kinaundwa na watu sio miti wala nyasi.

Ndg Wassira, kauli zako hizi zinatutia mashaka na kuweka hisia na tuhuma zetu juu yako, kwani inawezekana unaratibu mambo haya kupitia jeshi la polisi, kwanza cheo chako kinasanifu yaliyotokea. Waziri mzima unatoa kauli kama hii, huku ukijua ni mwakilishi wa serikali, umeipaka matope serikali yako na chama chenu.

Najua hakuna jingine linalowapa hofu bali ni hofu ya kuachia dola. Na hofu hii inatokana na maovu mliyoyafanya kwenye utawala wenu yakiwemo ufisadi, rushwa, mikataba hewa, ujangili, utoroshaji wa pesa za walipa kodi, mauaji ya raia wasio na hatia.
Kwa taarifa tu, CCM haiwezi kutawala milele daima, mwisho wenu upo tu. Na jiandaeni kuficha sura zenu baada ya kutoka madarakani kwa kuzomewa kama mbwa.

NCHI HII SIYO YA CCM NA SERIKALI YAKE ,BALI NI YA WATANZANIA WOTE.
 
Lyimo

Lyimo

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
3,825
Likes
38
Points
145
Lyimo

Lyimo

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
3,825 38 145
Walijua hizi mbinu zao zinazoshindwa kila kukicha zingefanikiwa, badala yake ndiyo wanakiua chama chao wenyewe.
 
K

kinauche

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
7,684
Likes
850
Points
280
Age
68
K

kinauche

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
7,684 850 280
Aulizwe!

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
KYAMTUNDU

KYAMTUNDU

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2013
Messages
1,821
Likes
9
Points
135
KYAMTUNDU

KYAMTUNDU

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2013
1,821 9 135
Huyu WASSIRA mnamtia kiburi wenyewe mnapomuona kama BINADAMU mwenzetu!
Jamani ACHENI kumsingizia....!
Vibaya hvyo!
Mwenye macho haambiwi tazama...
Sasa kama mnajitia kutoona, MTAZAMENI!
Sema sasa UMEONA NINI???!
Tehe!
 
G

gmwansasu

Member
Joined
Apr 23, 2008
Messages
43
Likes
2
Points
15
G

gmwansasu

Member
Joined Apr 23, 2008
43 2 15
i see... u line of thinking inasikitisha na haiko well informed kabisa. umeshawahi kukisikia chama kinaitwa CCJ na sijui CCK? havijafa? wakina Mpendazoe wamekufa? acheni utoto jamani. na haya mambo ya moderator kuita watu senior members halafu wanafikiria kibwege namna hii inapunguza thamani ya JF sana.

Kusema kuwa mtu/kitu kife hiyo sio dhamira njema.Ndg wassira alisema mwaka 2013 chadema lazima ife alikuwa na dhamira gani? Katika hali ya kawaida huwezi kuua chama kama hujaua watu,kwani chama hakiundwi na miti bali ni watu.
Kutokana na kauli yake hii,ni dhahiri kuwa kauli ya WASSIRA iko katika utekelezaji,kwa kutumia ufahamu mdogo tu ambao haumhitaji mtu kuwa na PhD huwezi kuua chama kama haujaua viongozi,wanachama na washabiki wa chama,chama kinaundwa na watu sio miti wala nyasi.
Ndg wassira,kauli zako hizi zinatutia mashaka na kuweka hisia na tuhuma zetu juu yako,kwani inawezekana unaratibu mambo haya kupitia jeshi la polisi,kwanza cheo chako kinasanifu yaliyotokea. Waziri mzima unatoa kauli kama hii,huku ukijua ni mwakilishi wa serikali,umeipaka matope serikali yako na chama chenu.
Najua hakuna jingine linalowapa hofu bali ni hofu ya kuachia dola.Na hofu hii inatokana na maovu mliyoyafanya kwenye utawala wenu yakiwemo ufisadi,rushwa,mikataba hewa,ujangili,utoroshaji wa pesa za walipa kodi,mauaji ya raia wasio na hatia.
Kwa taarifa tu,ccm haiwezi kutawala milele daima,mwisho wenu upo tu.Na jiandaeni kuficha sura zenu baada ya kutoka madarakani kwa kuzomewa kama mbwa.
NCHI HII SIYO YA CCM NA SERIKALI YAKE ,BALI NI YA WATANZANIA WOTE.
 
makoye2009

makoye2009

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2009
Messages
2,644
Likes
502
Points
280
makoye2009

makoye2009

JF-Expert Member
Joined Jun 12, 2009
2,644 502 280

Kulingana na Kauli ya Msajili wa Vyama Bwana John Tendwa aliyoitoa jana ameonya kwamba lazima sasa Viongozi wa vyama Vikuu pinzani kwa sasa hapa Tanzania kwa maana ya CHADEMA na CCM lazima wachunge ndimi zao. Kauli zao zinawavuruga Watanzania na kupelekea kuhatarisha Amani ya nchi.

Tendwa ameeleza kuhusu sheria inayoweza kuvifuta vyama vote viwili akianza na CCM kama kitabainika kuhusika katika machafuko haya. Ikitokea hivo maana yake inakuwa huna srikali inabidi uitishwe Uchaguzi Mkuu haraka sana maana ukifuta chama tawala unakuwa umepindua serikali kwa kalamu. CHADEMA nao wakifutwa wanakuwa wamepoteza Wabunge wao wote wa kuchaguliwa na wakuteuliwa.

Sasa sina hakika kama Tendwa ana ubavu huo ilhali tunajua kabisa amewekwa na haohao Chama Twawala!!!
 
makusanya

makusanya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2011
Messages
552
Likes
64
Points
45
makusanya

makusanya

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2011
552 64 45
Akili za kiroboto anyways mwachemi kama alivyo yupo nyuma ya binadamu wa kawaida stage 1....chimpazzZzzz
 
Forum statistics

Threads 1,273,084
Members 490,268
Posts 30,470,668