The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 19,382
- 43,169
Afadhali ya AU, hawa ni zaidi ya ukawa.Hilo baraza siku hizi limekuwa kama mikutano ya AU
Afadhali ya AU, hawa ni zaidi ya ukawa.Hilo baraza siku hizi limekuwa kama mikutano ya AU
Yaani we acha mkuu maana yake “riot”Yaani bonge moja la series alafu liitwe fauda dah huu ni umama
Maandiko yanasema wanadamu watajiangamiza wenyewe !Mwisho utaletwa na uzembe wa Mwanadamu kwenye Climate change.
Hakukua na sababu ya Hamas kuvuka mpaka na kwenda kushambulia Miji na Vijiji vya majirani zao.Vikundi vya kigaidi vifutiliwe Mbali!
Kundi la wapiganaji wa HezboLlah wameitikia rasmi wito uliotolewa na viongozi wa kipalestina juu ya kuungana nao kuishambulia Israel.
Mapema leo makombora ya masafa marefu ya Hezbollah kutokea kaskazini yalirushwa kuelekea vituo vya kijeshi vya Israel karibu na mashamba ya Bersheba.
Kwa upande mwengine Israel imekiri kuwa miongoni mwa askari wake waliouliwa ni mwenye cheo cha major na huku meya wa jimbo mmoja akiwa miongoni mwa waisrael hao waliokwishakufa.
Sambamba na hilo mapigano yanaendelea maeneo ya kusini ya Israel yanayopakana na Gaza huku wapalestina zaidi wakimiminika maeneo hayo.
Kwa mara ya mwanzo wapiganaji wa Hamas na wenzo wa Islamic jihad wameonekana wakimiliki na kuendesha magari ya kivita ya Humvee waliyoyateka kutoka jeshi la Israel.
View attachment 2775202
Aliyetabiri ni Yohana ndugu yake Yakobo. Mbatizaji aliliwa kichwa na Herodias. Mbatizaji naye hajui kinachoendelea.Sasa wewe Yohana si ndio ulitabiri haya kwamba mwana wa Adamu atarejea... Inakuwaje unasahau maneno yako
Neno La Mungu halijawai kubadilika hata kama Israel watashindwa itakua ni kwa Muda tuHivi mtakuwa brainwashed hadi lini?
Achaneni na theories hizi, mambo yanabadilika muda unabadilika.
Haukuwaambia wewe na Nani?
Muwe mnatunza akiba ya maneno. Unahisi wapalestina na Hao Hizbolah wao hawakuwi eeenh, unahisi wapalestina wa 1970 ndio Hawa wa leo?Watafutwa hawa wa Palestina, mwisho wao utakuwa mbaya zaidi, ilq hii itampa pumzi Russia, Ukraine atatoswa si mda.
Kumbe basi nikajua ndio huyu mbatizaji...Aliyetabiri ni Yohana ndugu yake Yakobo. Mbatizaji aliliwa kichwa na Herodias. Mbatizaji naye hajui kinachoendelea.
Maandiko bila research ndio tatizo kubwa la Mwanadamu.Maandiko yanasema wanadamu watajiangamiza wenyewe !
Climate change + Nuclear weapons = Dunia kushney 🙏🙏
Huyu ni mwingine.Kumbe basi nikajua ndio huyu mbatizaji...
Acha kulariri visivyokaririka jamaaNeno La Mungu halijawai kubadilika hata kama Israel watashindwa itakua ni kwa Muda tu
Wapalestina sahizi wanaogelea mvua ya makombora wameshalambishwa mchanga kama 256 huko Gaza na netanyahuu ameapa kuwageuza vifusiIsrael alichofanywa jana sijapenda.
Ila Waarabu watalipwa kwa vifo, ni swala la muda kabla vilio havijatawala
Wale tuliosomea Cuba. Tunaelewa kitakachotokea apo anakamatwa mtu na family yake anaanza kuuliwa mtoto anafata mume alafu was mwisho Mama, ili machungu wayasikie vizuri. Mpaka dunia itawaita watu was haki za binadamu wawaombeee msamaha. Anakamatwa mtu anaingizwa kwy tanuuu la Moto ndugu zake wakishuhudia na dunia ikishuhudia alafu watu was haki za binadamu wataombaa wawasameheWasije wakasema hatukuwaambia. Israel haina utani pale inapoguswa makalio.
Soon kuna watu wataomba poo.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app