Hmmm..leo direct win
Chelsea win
5.25odd
Uhakika
Hata kwa kuchomoa betri haiwezekani.Hmmm..
Mkuu ofkozi hakuna options za uhakika mia kwa miaHata magoli yanalostisha sana tu
Mkuu kushinda jackpot inawezekana.......but what are chances?Nataka kutake risk wadau kwenye jackpot ya sport pesa over 800,000,000 . Naitaji.mawazo yenu wadau kwani humu kuna watalamu na wabobezi katika hii fani. Kiasi nilichokiandaa ni 800,000 hii pesa niko willing kuipoteza .
Nacho hitaji kufanya kila wiki nataka nitumie 100,000 nitengeneze mikeka 50 mfululizo kwa wiki 8 nione kama naweza angukia bahati yangu. Najua mikeka 50 nimichache kupata matokeo halisi ndio maan a nimekuja kuomba ushauri katika uchambuzi wa timu kwani nikichambua mwenyewe nitakuwa buyers .
Najua kuna alternative nyingi za kumpiga muhindi ila betting/gambling ni ileile mwenye mawazo na ushauri naombeni tafadhaliView attachment 1181023
Mkuu ofkozi hakuna options za uhakika mia kwa mia
Kimahesababu, probability ya magoli ni kubwa zaidi ya 1x2, unaposema fulani atashinda tayari umesema kuna goli
Akishinda goli lipo, draw ya magoli na hata akifungwa goli lipo
Kwa mujibu wa watafiti bookies wanapoteza zaidi pesa kwenye single
Na katika hizo single zinazoongoza ni za magoli
Bookies wanaingiza zaidi pesa kwenye mikeka
Na katika hiyo mikeka ya 1x2 ndio inayo ongoza kwa lost
Na ndio maana jacpot kushinda ni zaidi ya miujiza sababu wanakulazimisha direct
Kuna kitu nimejifunza hapa bro, i wish uendelee kutupa hizi semina elekezi kila maraMkuu ofkozi hakuna options za uhakika mia kwa mia
Kimahesababu, probability ya magoli ni kubwa zaidi ya 1x2, unaposema fulani atashinda tayari umesema kuna goli
Akishinda goli lipo, draw ya magoli na hata akifungwa goli lipo
Kwa mujibu wa watafiti bookies wanapoteza zaidi pesa kwenye single
Na katika hizo single zinazoongoza ni za magoli
Bookies wanaingiza zaidi pesa kwenye mikeka
Na katika hiyo mikeka ya 1x2 ndio inayo ongoza kwa lost
Na ndio maana jacpot kushinda ni zaidi ya miujiza sababu wanakulazimisha direct
xleo direct win
Chelsea win
5.25odd
Uhakika
Playmaster betWrite your reply...wakuu naomba kuuliza kampuni nzuri ya kubet online hasa mchezo w mpira ni ipi natak ningie ulingo w betting?
hahaha ..mkuu Nina lost mpaka machozi yananilengaNa SteveMollel