Inplay
═════
► Date : 14 / 08 / 2019
► Time: 14:35 pm
► League ::China 🇨🇳:classic
►Match ::Shenzhen FC -
Guangzhou R&F
► Tip : [ GG & 2.5 ] ○ over
► Odd : 2.60
► Safe %100
══════════════════════════════
═════
●►●►●►
 
═════
► Date : 14 / 08 / 2019
► Time: 20:00 pm
► League ::norway🇳🇴:league 1
►Match ::Kristiansund BK
FK Bodo/Glimt
► Tip : [ 2 & 1.5 ] ○FT & over
► Odd : 2.70
► Safe %100
══════════════════════════════
═════
●►●►●
 
[14/08, 13:58] MD TIPS: 1.30 ODDS ROLLOVER

Day1✅✅✅
Day2✅✅✅
Day3✅✅✅
Day4

TNT katropa-2way🏀

Odds:1.47

#FIFA19
[14/08, 13:58] MD TIPS: 1.50 ODDS ROLLOVER

Day1✅✅✅
Day2 ✅✅✅
Day3✅✅✅
Day4

TNT Katropa-2way🏀
Cska Moscow-2x🏑

Odds:1.61
#FIFA19
[14/08, 13:58] MD TIPS: TODAYS TIPS!

TNT Katropa-2way🏀(Philippines)
Skelleftea AIK-1x🏑
Cska Moscow-Dnb🏑
Croatia-1🤾🏾‍♂️
Denmark-1🤾🏾‍♂️
Ceres-Negros-1⚽️(Philippines)
Ksrko-2⚽️(Slovenia)
Aluminuj kidricevo-2⚽️(Slovenia)
Fc pakhtokor-1⚽️(Uzbekistan)
Vysociha jihlava-2⚽️(Czech)
Dukla Prague-2⚽️(Czech)
Skalica -2(Slovakia)⚽️
Spartak Trnava-2⚽️(Slovakia)
Zbrojovka Brno-2⚽️(Czech)
Fk slavaj vysehrad-2⚽️(Czech)

Odds:10.73
Soccabet code :#79001856

#FIFA19
[14/08, 13:59] MD TIPS: 2.00 ROLLOVER
DAY1✅✅✅
DAY2✅✅✅
Day3

Denmark-1🤾🏾‍♂️
Skalica-2⚽️(Slovakia)
TNT katropa-2way🏀
Cska Moscow-dnb 🏑

Odds:2.00
Soccabet:#79002406
#FIFA19
 
► Date : 14 / 08 / 2019
► Time: 20:00 pm
► League ::norway🇳🇴:league 1
►Match ::VIKING - DARPSBORG
► Tip : [ GG & 2.5 ] ○FT & over
► Odd : 2.70
 
Hata magoli yanalostisha sana tu
Mkuu ofkozi hakuna options za uhakika mia kwa mia
Kimahesababu, probability ya magoli ni kubwa zaidi ya 1x2, unaposema fulani atashinda tayari umesema kuna goli
Akishinda goli lipo, draw ya magoli na hata akifungwa goli lipo

Kwa mujibu wa watafiti bookies wanapoteza zaidi pesa kwenye single
Na katika hizo single zinazoongoza ni za magoli

Bookies wanaingiza zaidi pesa kwenye mikeka
Na katika hiyo mikeka ya 1x2 ndio inayo ongoza kwa lost
Na ndio maana jacpot kushinda ni zaidi ya miujiza sababu wanakulazimisha direct
 
Nataka kutake risk wadau kwenye jackpot ya sport pesa over 800,000,000 . Naitaji.mawazo yenu wadau kwani humu kuna watalamu na wabobezi katika hii fani. Kiasi nilichokiandaa ni 800,000 hii pesa niko willing kuipoteza .

Nacho hitaji kufanya kila wiki nataka nitumie 100,000 nitengeneze mikeka 50 mfululizo kwa wiki 8 nione kama naweza angukia bahati yangu. Najua mikeka 50 nimichache kupata matokeo halisi ndio maan a nimekuja kuomba ushauri katika uchambuzi wa timu kwani nikichambua mwenyewe nitakuwa buyers .

Najua kuna alternative nyingi za kumpiga muhindi ila betting/gambling ni ileile mwenye mawazo na ushauri naombeni tafadhaliView attachment 1181023
Mkuu kushinda jackpot inawezekana.......but what are chances?

Usinielewe vibaya ila jiulize umesikia marangapi mtu kashinda hizi jacport? Very rare, kwanini?

Usipoteze muda wako wala pesa yako kukomaa na jackpot, utakua kila siku unaimagine umejenga jumba na gari la kifahari kwa m800
We place jackpot yako moja endelea na mengine

Mi siku hizi hata sh 100 yangu kucheza jackpot ya betpawa nimeacha
 
Upo sahihi Mkuu..!!
Mkuu ofkozi hakuna options za uhakika mia kwa mia
Kimahesababu, probability ya magoli ni kubwa zaidi ya 1x2, unaposema fulani atashinda tayari umesema kuna goli
Akishinda goli lipo, draw ya magoli na hata akifungwa goli lipo

Kwa mujibu wa watafiti bookies wanapoteza zaidi pesa kwenye single
Na katika hizo single zinazoongoza ni za magoli

Bookies wanaingiza zaidi pesa kwenye mikeka
Na katika hiyo mikeka ya 1x2 ndio inayo ongoza kwa lost
Na ndio maana jacpot kushinda ni zaidi ya miujiza sababu wanakulazimisha direct
 
Mkuu ofkozi hakuna options za uhakika mia kwa mia
Kimahesababu, probability ya magoli ni kubwa zaidi ya 1x2, unaposema fulani atashinda tayari umesema kuna goli
Akishinda goli lipo, draw ya magoli na hata akifungwa goli lipo

Kwa mujibu wa watafiti bookies wanapoteza zaidi pesa kwenye single
Na katika hizo single zinazoongoza ni za magoli

Bookies wanaingiza zaidi pesa kwenye mikeka
Na katika hiyo mikeka ya 1x2 ndio inayo ongoza kwa lost
Na ndio maana jacpot kushinda ni zaidi ya miujiza sababu wanakulazimisha direct
Kuna kitu nimejifunza hapa bro, i wish uendelee kutupa hizi semina elekezi kila mara
 
Write your reply...wakuu naomba kuuliza kampuni nzuri ya kubet online hasa mchezo w mpira ni ipi natak ningie ulingo w betting?
 
Pesa hiyo1
Screenshot_20190814-164614~2.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom