Jaribu mkuu unaweza usipate m800 ukapata japo bonansi yao hata mimi napataga bonansiNinawazo hilo pia. Ila nataka Weekend hii nianze na ticket 5 tu
Ulikuwa unasemaje kuhusu 22betWadau kuna mtu yeyote humu anabet 22bet
Hata magoli yanalostisha sana tu
mbona unatutisha mkuuWeka hata mke View attachment 1181092
Cheza double chance tuNataka kutake risk wadau kwenye jackpot ya sport pesa over 800,000,000 . Naitaji.mawazo yenu wadau kwani humu kuna watalamu na wabobezi katika hii fani. Kiasi nilichokiandaa ni 800,000 hii pesa niko willing kuipoteza .
Nacho hitaji kufanya kila wiki nataka nitumie 100,000 nitengeneze mikeka 50 mfululizo kwa wiki 8 nione kama naweza angukia bahati yangu. Najua mikeka 50 nimichache kupata matokeo halisi ndio maan a nimekuja kuomba ushauri katika uchambuzi wa timu kwani nikichambua mwenyewe nitakuwa buyers .
Najua kuna alternative nyingi za kumpiga muhindi ila betting/gambling ni ileile mwenye mawazo na ushauri naombeni tafadhaliView attachment 1181023
Na SteveMollelHongereni sana wakina Void, Mayu, soka255 mko vizuri.
Hahaha, ila anayecheza nae ni nyanya zaidi. Let's see how they come out today. Shida ya Tennis ni "one man army" ... akizingua siku hiyo basi ndo uhesabu kuliwa. Tofauti na Football wachezaji 11, mmoja akizingua anaweza kupigwa sub chap
Lakini hizo mbili ni 90% possible.
BooooooooooooooomRussia league
*Luch Vs Chayka*
GG
*2.20 odds*
hatari kwanin mkuu ashindeleo direct win
Chelsea win
5.25odd
Uhakika
HongeraMzee wa link niliunda cluster moja kati ya hizo nashukuru nimeonja ladha ya ushindi