King mkucha
Member
- Oct 14, 2016
- 89
- 70
Daaah naombeni tuwe tunashirikiana wadau maana hali ishakuwa ngumu sahv kuchambua mechi nashindwa kabisa yaani
Ni kweli normal haina mpango hata kidogo hii mikeka mitatu yote haikuwa na normal hata moja ilokuwa normal imepasuka ! Kwenye hii mitatu yote nlikuwa nasubiri game ya basel over 2.5 mpk dakika ya 60 kulikuwa na goli moja ila mwisho imetoaView attachment 1180819