soka255
JF-Expert Member
- Sep 3, 2018
- 1,860
- 1,321
KAMA KAWA SEMA MASHARTI MUHIMU CHEZA SINGLR TKT USIUNGE ZINALIPA
Binafsi nimepoanga hivi, 1.Lec 2. Coven 3. Aston, 4 north 5. draw 6.charlton, 7.draw 8. grozny 9. Kras 10.Rioo 11 Esp. 12 Draw 13 ac millanNdugu zangu nawapigia magoti hizi mechi ni kiboko kabla sijacheza naomba mnisaidie maoni yenu
kwa zile ambazo muna uhakika nazo tu, hata ukipendekeza moja si mbaya mwenenu niko kizimbani
nataka kujilipua.View attachment 1046065
Confirmed inaandikwa sehemu gani kweny account baada ya kuwithdrawImekuwa confirmed???
Mkuu kwenye betting hakuna option laini hata siku moja
- Nice vs Toulouse-penalty awarded NO
- Lille vs Monaco-Player red card NO
- Real sociedad vs levante-Player red card NO
- Cagliari vs Fiorentina-Player red card NO
- Borussia Monchengladbach vs Freinburg-Player red card NO TOTAL 2.28 ODDS..........STAKE 300,000 uhakika 5000 percent we ruka nayo....... sasahivi ni mwendo wa no redcardtu....nimechoka kuliwa.,Mungu ameumba jambo jipya kila mtu atalinda mtaji wake......option ziko nyingi tu za uhakika kama hizi
0626064800Wakuu, naombeni msaada kama kuna mtu ana namba ya simu ya kuwasiliana na Premierbet. Nimewatumia email toka majuzi, walijibu kwamba kuna mtu atanisaidia lkn mpk saiv kimya.
Wameshikilia pesa zangu kisa kuna game ya tennis ilikuwa retired (tena nikiwa nimeshinda kabla haijawa retired) toka tar 12.
Ohoo! Basi hawa jamaa hawako serious, hii namba kuna kipindi nilikua nawasiliana nao though wasap mkuuAsante sana Chief.
Naambiwa namba imezuiliwa kwa muda. Kuna namba nyingine mkuu?