Hapoooo analiaaa tips za bure angepigwaaa
Angetoa m....yaanii kaumia mpaka kasahau matokeo masikini ft 2-1 not 2-2

INGOD WE TRUST KESHO NAYOSIKU....
Ha ha ha......
Ni hatar mkuu.

Hawa wenzetu juniors wanapata tabu sn.

Wanapenda sn mteremko.

Hii kazi ya kubet sio kazi nyepesi km wengi wafikiriavyo.

WENGI WANASAHAU KUA WAKO KTK VITA KUBWA SN YA KIUCHUMI.

NA MAADUI ZETU KTK HII VITA WENGI WAO NI WATU WASIOJULIKANA.
 
Kampuni za betting ni kama ccm na kina ukawa.

You are free to run if ur not satisfied.

Odds hupungua kutokana na mwny kampuni kupata updates mbalimbali kabla ya mechi

Mf: unaambiwa Leo coutino, filmono na Henderson hawatakuepo kwny line up ya Liverpool.

Hapo moja kwa moja liver ataongezewa odds za ushindi ukilinganisha na ilvokua awali.

Nafikiri swali la mdau limejikita kufahamu kampuni gani ambayo anaweza kubet tips nyingi kwa mechi moja! Mf:
Arsenal Vs Man City
BTTS —- Yes
3 way —- 2
Player sent off —- No

Mie nimemuelewa hivi.! Samahani pia kama sikumuelewa ipasavyo
 
No red card:

Arsenal vs liverpool
Espanyol vs Atm
Betis vs Bilbao
Cagliari vs Viola
Chievo vs bologna

Odds 2++

Tia mpunga kadri uwezavyo tukutane bar
 
Nafikiri swali la mdau limejikita kufahamu kampuni gani ambayo anaweza kubet tips nyingi kwa mechi moja! Mf:
Arsenal Vs Man City
BTTS —- Yes
3 way —- 2
Player sent off —- No

Mie nimemuelewa hivi.! Samahani pia kama sikumuelewa ipasavyo
Aende mcheza bet.

Nliona pale wana kitu inaitwa match mix.

Machaguo ni mengi.

Changamoto ni kwmb wanatoa odds kdg kiujumla ukilinganisha kampuni nyingn km princess.

Pia na means ya deposit nayo naona wadau wanalalamika.

Kazi kwake
 
Habari za jion wadau

Samahan hivi kwa hapa bongo n company gan au betting site gan unaweza kuweka machaguo mawili au

zaid kwa mechi moja na odds zikawa zinaongezeka make naona merridian zinapungua badala ya kupanda

Yaan kwa mfano Arsenal vs LIVERPOOL ukachagua btts & ov 2.5 at the same betslip

kulingana na mfano hapo juu kwa btts ikiwa n odds 2 na over km n odds 1.6 ukiweka pamoja inatakiwa iwe

zaid ya point 2 but kwa merridian naona zinashuka chini na kuja kwenye 1.na point
premier, meridian najua hao
 
*68G9BVT*
*single & combined*
*100% sure*
1234 Primera Division
Real Betis - Ath. Bilbao
X/1 6.90
8897 Serie A
Chievo - Bologna
X/X 4.40
 
Ha ha ha......
Ni hatar mkuu.

Hawa wenzetu juniors wanapata tabu sn.

Wanapenda sn mteremko.

Hii kazi ya kubet sio kazi nyepesi km wengi wafikiriavyo.

WENGI WANASAHAU KUA WAKO KTK VITA KUBWA SN YA KIUCHUMI.

NA MAADUI ZETU KTK HII VITA WENGI WAO NI WATU WASIOJULIKANA.
Hahahahaaaaaaa

Wapake [HASHTAG]#GRIIIIIIIISIII[/HASHTAG] TU MPWAAA
HAKUNAAA JINSI AWAJUI VITA ZA HUKO NYUMA

ULIPENDA KULA SHARTI [HASHTAG]#ULIWEEEEE[/HASHTAG]
 
Gaziantepspor alipewa odds 21 ... alifaa kufuatwa na Handicap 0:2


5da9a573905ac36b81f7423bdbcdbaf3.jpg
 
Mpwaa deep ov zaleoo um.eziachaje

Mswano mbaya
 

Attachments

  • Screenshot_20171222-194855.png
    Screenshot_20171222-194855.png
    33.9 KB · Views: 19

Similar Discussions

Back
Top Bottom