Ila Barcelona hata 1.5 kashinwa duh kweli skies away Sio wakumwaminiJinsi mokeka inavyochanika ndivyo mzuka wa kuendelea kubet unazidi
Inauma sana hela yangu imepotea kizembe
A Madrid n wasenge
Wamenikera sana Hawa jamaaDaaaah A. Madrid mmekuaje aiseee!????
Pole mkuu Barcelona na juve wazngua firsthalfDah kwa mara ya kwanza napata maumivu makubwa ya kubet
Yan wanalegea dk za mwishoSana....!
hongera mkuuHONGERA! Umeshinda Tzs164100 kwenye bet nyingi (namba ya bet 9921). Kodi Tzs11500. Baada kodi unapata Tzs152600.
Hawa Juve ni miknd sijapata kuoana aisee:barcelona, juventus wote ku.ma.mae zao bora ningeliamini chama langu chelsea
Roho inaacha mwili huku