Mo-Reece
JF-Expert Member
- Feb 10, 2013
- 223
- 258
kweli mkuu sifanyigi leo sijui kanipa pombe gan huyuJ
aribu usishare timu mojakwa.mikeka zAidi ya mmoja n shidaaa
kweli mkuu sifanyigi leo sijui kanipa pombe gan huyuJ
aribu usishare timu mojakwa.mikeka zAidi ya mmoja n shidaaa
mamaeeeeee View attachment 573587
mkuu southampom ka lóss?Ao jamaaa nadhan ilo Tusi haliwatoshiiii,daaaah siamini km kanjii nimemkosaa tena kwa usenge Wa Southampton
Mkuu download app yao, Jana wameshinda match zao zoteLeo mligoma kuweka bankocep
Leo siku nyingne tena, turudishe kias iliyopotea jana... Kesho naona lig zinarud... muda muruawaaa wa kutengeneza pesa kwa kwa style yetu hiiKaharibu mwishoni aisee
.
Corinthians unasubiliwa wewe uokoe jahazi hapa ... ningekuwa na uwezo wa kuturbo ningefanya hivyo.
View attachment 573581
Leo siku nyingne tena, turudishe kias iliyopotea jana... Kesho naona lig zinarud... muda muruawaaa wa kutengeneza pesa kwa kwa style yetu hii
,.......Hapa sijakuelewa mkuu
Hujaelewa maana yangu, ndani ya siku tatu hzLigi mbona zimesharudi wiki karibu 3 zilizopita ...
Hujaelewa maana yangu, ndani ya siku tatu hz
Mashindano yaliyokua yakichezwa n
UEFA NA EUROPA, CUPS tofaut tofaut kama FA etc na sio ligi, ligi zinarud kesho
Kumbe unakaa tegeta kwa ndevu?Hakuniona nilimzoom nilikaa kwa mbali kdgo