Attachments

  • Screenshot_20170731-142330.png
    Screenshot_20170731-142330.png
    42.7 KB · Views: 29
0f8a7b1cdeab5271f34f6ad81e6edd78.jpg


Baada ya juzi kufika mpaka round 10 jana nikakomaa na kanji mpaka round 15, kufka mida ya saa 8 usku nilikutana na punch moja kutoka kwa kanji nikazma, na kanji akatangazwa kuwa bingwa na ndo ukawa mwisho wa safari ya day 23....

Sent using Jamii Forums mobile app
Zilibaki round 8 tu joooh......... Si haba.... Mi ndio nipo round ya pili..... Nilifanikiwa kufika 10 nazipiga pasu..
 
Mdau hivi hawa princessbet wanatoa bonus kama meridianbet au premierbet,na kama wanatoa,je,hiyo bonus inakuwaje?

Sent from Samsung Galaxy S8 Plus using JamiiForums mobile app
Bonus ya princessbet ni 18% inamaana makato ya VAT hayajumuishwi kwenye makato endapo utashinda pesa yako unaipata ikiwa kamili kabisa
 
Mdau naomba jinsi ya kudeposite princessbet,mim nilitumia namba ya kampuni 262222 na namba yangu ya simu niliyosajili kama kumbukumbu namba,je nipo sahihi???

Sent from Samsung Galaxy S8 Plus using JamiiForums mobile app
kila unapotaka kudeposit princessbet unapewa refference number tofauti kwa kila muamala
 
KUBET imekuwa ni moja ya shughuli za kuingiza kipato kwa vijana,watu wazima na serikali katika miaka ya hivi karibuni.
Lakini pia mchezo huu umekuwa unafirisi baadhi ya watu ambao hawachuikui tahadhari wakati wa ‘kusuka mikeka’ hivyo basi ungana nami Mr Betting kila siku nitakuwa natoa ‘tip’ za namna bora ya kubet na dondoo za michezo lakini pia tutajadiliana kwa pamoja ili tushirikiane kumpiga ‘Mhindi’.
UTABIRI WETU KWA SIKU YA LEO KWA VIPENGELE TOFAUTI
TIMU ZENYE UHAKIKA WA KUSHINDA
1) HJK HELSINKI V\S HIFK (HJK HELSINKI WIN)
2) BOLLNAS GIF FF V\S SODERHAMNS FF (BOLLNAS GIF FF WIN)
3) VALUR REYKJAVIK V\S IA AKRANES (VALUR REYKJAVIK WIN)
4) PENINSULA POWER V\S MELBOURNE CITY (MELBOURNE CITY WIN )
5) AFC ESKILSTUNA V\S DJURGARDEN (DJURGARDEN WIN)
6) GRINDAVIK V\S VIKINGUR R. (GRINDAVIK )
TIMU ZENYE UWEZEKANO WA KUTOA ZAIDI YA MAGOLI MAWILI ( OVER 2.5)
1) VALUR REYKJAVIK V\S IA AKRANES
2) BREIDABLIK V\S FJOLNIR
3) LA EQUIDAD V\S ALIANZA PETROLERA
4) HACKEN V\S OREBRO
5). ORGRYTE V\S NORRBY IF
6) FC WOHLEN V\S FC SCHAFFHAUSEN
TIMU ZENYE UWEZEKANO WA KUFUNGANA ( GG, BOTH TEAMS TO SCORE)
1) ETAR VELIKO TARNOVO V\S VEREYA STARA ZAGORA
2) FORTUNA DUSSELDORF V\S EINTRACHT BRAUNSCHWEIG
3). KR REYKJAVIK V\S VIKINGUR O.
4) BULLEEN LIONS V\S PORT MELBOURNE
5) FK JELGAVA V\S FK LIEPAJA

6) ETAR VELIKO TARNOVO V\S VEREYA STARA ZAGORA
TIMU ZENYE UWEZEKANO WA KUFUNGANA MAGOLI MENGI KIPINDI CHA PILI
1) JJK V\S ROPS
2) SJK V\S KUPS
3) SILKEBORG V\S AARHUS
4) AUXERRE V\S LENS
5) VASCO DA GAMA V\S ATLETICO PARANAENSE
6) LA EQUIDAD V\S ALIANZA PETROLERA
UTABIRI WA JUMLA WA SIKU/MULTIPLE PLAY
1) HJK HELSINKI V\S HIFK (HJK HELSINKI WIN)
2) VASCO DA GAMA V\S ATLETICO PARANAENSE ( OVER 2.5)
3) VALUR REYKJAVIK V\S IA AKRANES (VALUR REYKJAVIK WIN)
4) SJK V\S KUPS ( B0TH TEAM SCORE)
5) AFC ESKILSTUNA V\S DJURGARDEN ( MAGOLI MENGI KIPINDI CHA PILI)

N.B Chagua timu chache weka ‘Mpunga’ wa maana.
Ingiza million 1 ndani ya siku kumi kwa sh 500 tu
Ungana nasi hapa kila siku upate m,changanuao wa upatikanaji wa pesa hiyo,
MCHANGANUO WETU WA POINT 3 ZA LEO NI KAMA IFUATAVYO
LEO TUTAWEKA JUMLA YA TIMU SITA AMBAZO ZINATULETEA ODD YA 3.23
Mchezo pekee tutakao cheza kwa leo ni over 1.5
1) HACKEN V\S OREBRO
2) AUXERRE V\S LENS
3) BOLLNAS GIF FF V\S SODERHAMNS FF
4) GRINDAVIK V\S VIKINGUR R.
5) JJK V\S ROPS
6) FC SLUTSK V\S NAFTAN
Njia pekee tunayo itumia ni hii hapa
Ingiza million 1 ndani ya siku kumi kwa sh 500 tu
Ungana nasi hapa kila siku upate mchanganuao wa upatikanaji wa pesa hiyo,
ONE MILLION IN TEN DAYS
=====================
======================



Day 1.....500 × 3 = 1500
save 500

Day 2.....1000 × 3 = 3000
save 1000

Day 3.....2000 × 3 = 6000
save 2000

Day 4.....4000 × 3 = 12000
save 4000

Day 5.....8000 × 3 = 24000
save 8000

Day 6.....16000 × 3 = 48000
save 16000

Day 7.....32000 × 3 = 96000
save 32000

Day 8.....64000 × 3 = 192000
save 64000

Day 9...160,000 × 3 = 480,000
save 160,000

Day 10...320,000 × 3 = 960,000
.................................
savings + 960,000 = 1,247,500
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom