yes, nimerudi na mbinu mpya toka chimbo.... ngoja tusubir msim uanze tuzitupieInaonekana umerudi na mbinu mpya. Maana mbinu za zamani hivi karibuni zimekuwa hazifanyi kazi.
Mkuu unaogopwa kutangazwa baada ya kushinda perfect 12 au unaogopa nini?Dah ila hata mie hapo kwenye majina dah huwa nawaza kweli wengine hatupendi kabisa majina yetu kuwa wazi
KwakoMkuu unaogopwa kutangazwa baada ya kushinda perfect 12 au unaogopa nini?
Kwako
Root, mtzmweusi
Sogeza mkeka wako pamoja na pesa ya kubet kwenye Pm yangu nitabet kwa Account yangu tukipiga hiyo perfect 12 mpunga ntaenda chukua kwa jina langu then tutashare bila wewe kijulikana.
Hahahaa mnakimbia woteNa ukikimbia ?
Oak wins...**wonHela hioo
OAK CANNONS WIN N OV 2.5
PORT MELBOURNE GG N OV 1.5
*STAKEWIFE*
Ntakimbia vipi na pesa kama makubaliano yapo Root?Na ukikimbia ?
Yeah sure;Atakaeotea matokeo ya mechi nne Parana, Honduras, Alt Mg na Drogheda anapiga 205 hizo ndy ngumu
nilijua mimi ndo nimeweka mingi kumbe kuna mbabe hapaNimeweka mikeka 72 ya P12 Qumamae...
bado ipo me juzi nlipga timu9 nlipata 100 !Mkuu root nahisi kuna mtu kaichomoa ile mil 200 ya mbet
Dadeq umeua mnyama;mi najipanga nije nimuwekee yote 12×12=144 afu nione inakuajeNimeweka mikeka 72 ya P12 Qumamae...
Alafu kila mkeka match moja inazingua lazima tupishane Milembe (joking)Nimeweka mikeka 72 ya P12 Qumamae...
Nazani wengi hawaichezi kwa kua wao wanaanzia tsh2000 ilihali kampuni zingne zina anzia bukuTangu SportPesa iingie Bongo kuna mtu amewahi kuwapiga Jackpot?