Wakuu naombeni ushauri..Tangu last week 14/01/2017 nimedeposit Tshs 100,000/= Meridian Bet lkn hadi nina type hapa pesa haijaingia kwenye stake na pesa ilishatoka kwenye tigopesa account yangu..
Mnanishauri nifanyaje maana nimeona humu pia wengi imewatokea je mmechukua hatua gani wahanga wenzangu au nyie mmeshatatuliwa tatizo?
Chat nao facebook andika hivi
Transaction id: (hapa ni namba ya utambulisho wa muamala wako)
Account number :(nambaya account ya meridianbet ya kwako wewe)
Amount: (kiasi ulichoweka /deposited )
Phone number : (namba yako ya simu uliyodeposit pesa )
Tarehe:()
WAAAMBIE PESA HAIJANGIA KWENYE A/C TOKA TAREHE....() kifupi tu
*tuma kila baada ya masaa mawili!!
 
Kumbe mechi ikiwa postponed wanaitoa ..thanks God
Screenshot_2017-01-21-10-01-14.png
 
Haya wale wa odd chache chache, Chagueni hapa.

NB: Usiweke zote kwa pamoja.


West Brom - Sunderland over 2.5 (2.10)

Norwich - Wolves Over 2.5 @2.00


Eupen - Genk | BTS & over 2.5 (1.85)


 

Similar Discussions

Back
Top Bottom