Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,367
- 3,778
Huo ndio ujanja na dawa ya mjanja kama dalali anataka mkubaliane kabisa na usiende kumuona mwenye kwianja utamuona mkishakubaliana naye ahaha.Mi kuna machinga nilikuwa nachukua mzigo kwake, hivyo nampa pesa ye anazunguka kwenda kuchukua mzigo. Ukimuuliza asemi,siku nilienda na vijana wangu watatu ambapo yeye hakuwaona.Hivyo nilivyomkabidhi pesa akaondoka, vijana wangu wakamfuatilia mpaka wakajua maduka yote aliyoingia. Tangia siku hiyo hajaniona na majamaa wa madukani washanizoea hats bila pesa wananipa mzigo au wanatuma mkoani.