Karibu FAGO express, kampuni iliyosajiliwa kutoa huduma ya usafirishaji na uagizaji wa bidhaa kwa wateja

Tozonia

JF-Expert Member
Jun 18, 2013
689
727
Karibu DYNAMIC AIR AND SEA CARGO LTD Kampuni iliyosajiliwa kwa kutoa huduma ya usafirishaji na uagizaji wa Bidhaa Kwa wateja, tupo big bon mkabala na msimbazi B mtaa wa mkunguni na Congo (KARIAKOO) upate huduma zifuatazo kila siku:

KUKUAGIZIA, KUKUCHAGULIA, KUKUSAFIRISHIA na KUKUFANYIA DELIVERY Kwa bidhaa zote kutoka CHINA, DUBAI & UTURUKI kwenda mitaa yote ndani ya Dar es salaam na mikoa yote Tanzania. Huduma hii unaipata DYNAMIC AIR AND SEA CARGO LTD PEKEE.

Nakutafutia bidhaa (SOURCING)pamoja na bei zake ndani ya soko CHINA, DUBAI & UTURUKI na majumuisho ya gharama zote mpaka kukufikia HATAKAMA HUNA FEDHA ZAKUTOSHA KUAGIZA UTAWEZA TOA ASILIMIA 50% NAZINGINE KUMALIZIA MZIGO WAKO UKIFIKA. HII UNAIPATA DYNAMIC AIR AND SEA CARGO LTD TU..USICHELEWE FURSA HII.

Baada ya bidhaa zako kufika Dar unakua na option ya wewe kuufata au kuomba utumiwe popote ulipo ndani ya Dar na Kwa nje kama mikoani Tunasafirisha kwa uharaka na usalama zaidi.

AGIZA BIDHAA KAMA:
-Simu aina zote
-vifaa vya simu aina zote mfano:
chaji,covers,protectors.
-Vifaa vyote vya kieletronic kama TV, SABUFA, SPEAKER, FRIJI, HEATER LAPTOPS, DESKTOPS nk
-Vyombo vya ndani aina zote HOME APPLIANCES
-Nguo za kiume za watu wazima aina zote
-Nguo za kike za watu wazima aina zote
-Nguo za watoto aina zote
-Nguo za ndani aina zote mfano chupi,sidiria,boksa nk
-Urembo aina zote kama heleni,bangiri,kacha,saa nk
-Vipodozi na mawigi
-Vifaa vya stationary aina zote.
-Vifaa vya ushonaji aina zote kama cherehani,vitambaa,vitenge,sindano,nyuzi nk
-Material ya furniture aina zote.
-Vijora
-Mitumba aina zote
-CD na Movies kwa wale wote wenye library
-Hardware na Vifaa aina zote vya ujenzi.
-Spea za pikipiki na bajaji na viwandani
-Baiskeli aina zote
Betri na matairi aina zote nk
-Mashine za bekari
-Vifaa na material ya keki aina zote.
-Mapazia na mashuka aina zote.
-Mabegi,pochi na mikoba aina zote
-Viatu aina zote
-Na bidhaa zinginezo ambazo sijataja hapa.

MAWASILIANO: +255765018958 (PIGA/SMS/WHATSAPP).

Karibu sana kwa huduma bora na za uhakika kila siku 24/7.

Uaminifu ni mtaji,okoa muda na gharama za nauli kwa kutuagiza sisi bidhaa aina zote kutoka China, Dubai & Uturuki nakuleta ndani ya Dar es Salaam na mikoa yote Tanzania kila siku.

Karibuni nyote, for inquiry unaweza uliza nitakujibu.
 
Nipe utaratibu iwapp nimeagiza nguo Toka kwa distributor na nikitaka ufike ofisi zenu China ili mniletee Dar.
Naam, nitakutumia address ya Warehouse yetu iliyopo china then utampatia distributor wako, yeye atatuma kwetu na distributor wako atakupea wewe tracking number na iyo number utatuma kwangu tuconfirm kua umefika kwetu.

Then nitakupa Gha-rama za shipping mizigo ukifika unakuja ofcn kuufata.
 
Mkuu mnatumia aina gani ya usafiri (meli au ndege) na inachukua siku ngapi toka China mpaka Dar?
Tuna aina mbili za usafiri kutokana na matakwa ya na uharaka Wa mteja.

1. Ndege Hii inachukua siku 3-5 since tumepokea bidhaa yako Kwenye warehouse yetu.. ratiba yake kusafiri ni siku 3kwa juma moja..

2. Meli Hii hukuchukua siku 40-43max naratiba yake nikua hutoka j5 ya juma..

Karibu sana mkuu
 
Back
Top Bottom