Hivi Karibuni kampuni yetu itaanzisha Huduma za kuwatafutia wafanyabiashara wa mikoani bidhaa wanazohitaji hapa DSM, au nje ya nchi. Tutachukua oda zenu, tutawapa bei, mtatuma pesa, tutanunua na kuwasafirishia mlipo. Tutawatoza ada kidogo tofauti na gharama ungezitumia kuna DSM na kurudi. Stay tuned!
 
Kwa nini msinunue mzigo wenyewe then mkiufikisha kwa muhusika ndio awape pesa ili kujenga uaminifu kwanza?.
 
Kwa ujumla wafanya biashara wa Dar ni waaminifu sana na niwakalimu kuliko sisi wa mikoani maana ukituma pesa ikatokea mzigo uloagiza pesa imebaki utashangaa unapigiwa sm nakuambiwa pesa imebaki kias flani uamuz unabaki kwako uludishiwe au uongeze mzigo, mm hii imetokea Mara kibao laki wauzaji wa jumla uku mikoan usishangae anakuibia ukiwa dukani kwake, ongela zenu wauzaji wa jumla wa Dar.
 
Haaaa!! Kifaa cha 3000 dukani yeye anatuuzia 6000.ilikuwa akipiga simu mbona hatuonekani tunamwambia tumefulia, hivyo hata hao wanaoenda China in hivyo hivyo mpaka uje kugundua supplier wa bei rahisi ni shida. Kama vipi kawaulize wale wanaomwaga Madela kwa bei rahisi kama watafunguka?
Hawasemagi jamani, na madera yalivyo mengi.
 
Dada Charty ongela kwa roho yako nzr km umeolewa mmeo nampa zake pongez kwa kuchagua.

Huyo mdada Charty ni mtu poa sana, hanaga ubagamoyo. Ana moyo wa kiskauti.

Na ukifuatilia michango yake mingi humu jf, utagundua kuwa ni mdada ambaye anazijua hustles za kimaisha. Siyo mchoyo wa kushea michongo au sapoti.

Ni miongoni mwa wadada wachache wa JF that will always have my maximum respect.

-Kaveli-
 
Yaan wanawake tungekuwa na roho nzuri hivi presha na mambo ya ajabu yasingetupata.
 
Mwenye kujua machimbo ya kuuza shanga, vibao vya kutengenezea mikoba, wallet, kacha n.k. atuambie wanakwetu.
 
Interesting, kwenda nje wakati mwingine gharama kubwa ila vichache mtu unachukua Dar tu, naomba unirushie namba ya inbox nikifika unipe direction ya vitu ntakavyo kuomba unielekeze.
Ngoja nikupe machimbo eh best kizuri kula na mwenzio. Vitenge mara nyingi machimbo yake yapo NIDA kule Mnazi Mmoja wengi wanaouza k.koo wanaenda kufata huko, Viatu navyo vinapatikana huu mtaa wa Narung'ombe na congo pale nenda straight kwenye maduka ya wachina yaani sio wale machinga wanaomwaga chini nop unazama dukani utakuta zile simple wanauza 4000/pc na vile visandles wanauza 2500/pc. Cheni zama mchikichi katikati kuna mchina anauza mpaka 2000-3000/dz na hazipauki. Magauni nayo ingia ndanindani kule Congo na Aggrey wanauza nayo bei chee 6000-8000-1000-16000/pc. Vingine siku ingine nitakwambia nimechoka kutype ah.
 
Back
Top Bottom