Tripo9

JF-Expert Member
Sep 9, 2009
4,099
2,000

Ruge

JF-Expert Member
Aug 15, 2019
3,170
2,000
Nenda kariakoo Soko dogo. Pale muulize MTU yoyote ule mtaani upi kuna vikopo kibaoo utaelekezwa ni karibu Sana na soko dogo.
Au ulizia Dukani Kwa kipara ni wapiii. Ukishaoneshwa Kwa kipara huo huo mtaa Duka la kipara lilipo nenda Kwa mbele yake utaanza kuona mavikopo kama yoootreeee.
Shukrani
 

Demimi

Member
Feb 11, 2021
14
45
Mwenye kujua chimbo la jeans za special k.koo anijuze,
Kuna sehemu jumla wanauza 14,000
Sehemu nyingne 12,000.
Natamani kujua huyu anaye niuzia kwa 12,000 yeye ananunuaje(Note haagizi china mana siku nyingne akikosa chap anaenda nichukulia)

Kadet na 4m6 pia...?
Tumeni na picha za bidhaa hususan nguo ,nguo kila fashion ina bei zake
 

JAPHA ED

JF-Expert Member
Aug 17, 2016
631
1,000
Naomba kujua machimbo ya vitu vifuatavyo
T-shirt 4m6 zile machinga wanauza 7000
Sandals za kike zile machinga wanauza 3500
Vijora vile wanaviuza 6000
Bidhaa za dukani kama Foil, miswaki, pipi, jaladio, soksi, pencel, pen, daftari, kofuli, lesso n.k
Sandals za kike na kiume za kimasai
Boxer zile zinafungwa tatu tau machinga wanauza 10,000
Jeans ambazo machinga wanauza 12,000

Kwa anayejua akiweka na bei za kununulia kwa jumla itapendeza zaidi.
 
Jun 9, 2017
7
45
Wakuu naomba kujua wanapouza mkasi wa moto, wenyewe ukikata hauachi nyuzinyuzi unatengeneza smoothness unatumika sana kutengeneza handbags hizi za wadada hasa zile za kichina unakuta wametumia huu mkasi wa moto.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom