Nahitaji chimbo la hii gas regulator?
images%20(1).jpg
 
Kkoo agrey (kwenye kanisa, upande wa kushoto Sasa kama unatokea jengo la simba
Maduka ya ndani wanauza jumla jumla ila hawatoi risiti, na simu zenyewe ni tecno Itel huawei kampuni zile za kichina

Umenielewa??
Mkuu form six kali za.jumla.wanauza wapi na bei ikoje
 
Kkoo agrey (kwenye kanisa, upande wa kushoto Sasa kama unatokea jengo la simba
Maduka ya ndani wanauza jumla jumla ila hawatoi risiti, na simu zenyewe ni tecno Itel huawei kampuni zile za kichina

Umenielewa??
Mkuu wapi napata raba kali ambazo zipo safi hazijaisha kule chini kwenye soli yake.

Kwa bei rahisi
 
Ilala boma/Karume wahi saa10/11 alfajiri kuwa makini Kuna wezi sana huo muda
Asante sana mkuu samahani niulize tena.

Ilala boma ni mida hiyo hiyo alfajiri ?

Na karume ni pale chini sehemu za kawaida ambazo mchana hupangwa viatu au kuna sehemu special ?
 
Back
Top Bottom