Vinapatikana wapi?Kuhusu vipodozi. Niliamua kwenda mwenyewe nikapajua.
Vinapatikana wapi?Kuhusu vipodozi. Niliamua kwenda mwenyewe nikapajua.
Mr mi ninauza nguo za kiume hapo Kariakoo pia...Mzigo nasafiri kabla ya korona na naagiza baada ya korona....Shati ya Elfu Saba quality hakuna...labda Mtu afanye sell Ronya tenaa!
Shati zimeshuka Bei kidogo kutokana na watu wanaagiza tuu so Ile gharama ya ndege,hotel nk imepunguza Bei kidogo...Tuwe realistic na wakweli.
Shati za Elfu 10 zipo lakini huwezi sema Ni quality Sana hata Tshirts pia
Nenda MSDAnayejua chimbo la kununua dawa za binadamu kwa jumla anicheki 0788364580
Nimeona ikabidi ninyamaze
Naomba msaada wa chimbo la vitenge
Naombeni chimbo la hizi sandal kariakoo wakuu
Ikiwezekana na range ya bei kwa jumlaView attachment 1692671
Naomba mwenye kufahamu wapi naweza kupata vitambaa vya sofá ama makochi hapo kariakoo naomba mawasiliano nitamtuma mtu.
Mkuu kuhusu nguo za ndani nilienda ile mitaa yake pale Kariakoo ila bei ilikuwa kubwa kuliko bei ya Mbeya ambako ndio nilitaka nitume baadhi ya mzigo. Nilikata tamaa maana nilienda kama mara tatu kutafuta bei nafuu ila wote bei zilezileGerezani na bei nafuu mno hadi utashangaa
Ila zunguka maduka tofauti tofauti kabla ya kufanya manunuzi
Shukran mkuunelson15 njoo uulize au usome hapa
Mkuu kuhusu nguo za ndani nilienda ile mitaa yake pale Kariakoo ila bei ilikuwa kubwa kuliko bei ya Mbeya ambako ndio nilitaka nitume baadhi ya mzigo. Nilikata tamaa maana nilienda kama mara tatu kutafuta bei nafuu ila wote bei zilezile
Tangu January bidhaa zilipanda bei. Bei niliyouliza December mwishoni siyo niliyoikuta January baada ya kodi kuchachamaaMaybe maduka ya mwanzoni ila ya ndani ndani mengi bei nafuu japo sasahivi bidhaa nyingi zimepanda kiasi