Una 54 halafu anachagua mke. Hapo ni kama unatafuta death buddy. Atafute mwenye anahema tu maisha yaendelee
Duniani hapa sote tunapita tu 🙏🏿
Mkuu tuheshimiane 😁😁😁
Gari ya kwanza unaweza ukaamka usiku ukaenda kuliangalia nje linaendeleaje kama mgonjwa vileMkuu tuheshimiane
Gari la kwanza lina mchecheto sana!