wazili mkuu
Member
- Mar 19, 2019
- 36
- 32
Chan'gombe
Chan'gombe
Nikitaka kusema habari za Asubuhi kwa Kinyaki nasemaje? Isije kuwa Shule yako Haijasajiriwa bure
Ughonile.........
hao wanaotoka dar kuja songea hawarudi kwao bila kuja nyasaNyasa imekuwa Mjini tangu lini? Anyways, nitakuja Mjukuu though could make sense iwapo nitakuvalisha.
Usiwe na hofu na Babu, nimekabaki na nguvu za kushika Mkongojo tu kutembelea
Angalia hapo pembeni kulia. Hayo matundu ni makubwa. Fundi Maiko na mdogo wake watatoka tu tena kirahisi bila shida
RIP mpambanaji
Jamanii 🙆😅Bado hujaruhusiwa kuanza kuuliza maswali
Seems huko pamechangamka kulingana na maelezo yako, can't wait to join you there😛hao wanaotoka dar kuja songea hawarudi kwao bila kuja nyasa
Naomba umpe bibi ooooh hiyo ni kazi ya bibi kunivisha
Mkuu, mjukuu wangu Mawardat tayari kapata babu mwingine au inakuwaje sasa? What's going on?Seems huko pamechangamka kulingana na maelezo yako, can't wait to join you there
Navyomjua Bibi yako hawezi kukufundisha ukaweza, hiyo kazi niachie miye Mjukuu. Nikuhaidi kukupa mafunzo adhimu yatakayokuacha na kumbukumbu nzuri ya Babu
Hii fasheni ya ujenzi sijawahi kuielewa kabisa yaani. Huwa wanadhani kuwa ni mapambo ama?Fundi Maiko kafiwa kaacha vijana wake hapaView attachment 1949583